Sasa tunajadili ni namna gani au ni wakati gani Mrembo anaweza kuvuliwa taji la Miss Tanzania. kuna warembo ambao wameisha fanya matendo ambayo hayapendezi na bado hawakuchukuliwa hatua yoyote ikiwa ni pamoja na kuvuliwa taji. je ni kanuni zipi tuziweke ili kubana au kuhimiza nidhamu kwa warembo?
Star times haina tatizo ni wewe tu!! ebu fungua channel 6 uangalie!!!!
TV Sibuka ina vipindi vizuri sana, ina movies kali sana ambazo huwezipata kwenye kituo kingine chochote cha TV, inaonyesha mechi live za ligi ya Uingereza na Ujerumani, UEFA nk. TV Sibuka ina kipindi cha hotuba Maridhawa za...
Kituo cha televisheni cha Sibuka kinachorusha matangazo yake kupitia Startimes kitakuwa kinarusha live mechi zilizobakia za Barclays Premiere League, UEFA na Bundasliga!! Habari hizo za uhakika zinatokana na mipango ya muda mrefu ya Kituo hicho kuwaburudisha na kuwapa wanacho kipenda watazamaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.