Pia msifikiri tumesahau kuwa jao mnaodai kuwa walisaini mikataba hotelini ndio 2015/walikuwa wagombea urais ws CHADEMA. Hivyo CHADEMA ilishapiteza credibility kutoka 2015
Nashukuru sana kwa kutuelimisha wote ambao tulikuwa hatufahamu namna inavyoweza kufanya kazi. Kama nimekuelewa vyema bila ya hiyo app kuwa installed katika simu inayokusudiwa kudukuliwa mtu hawezi kuingilia mawasiliano yako binafsi.
Mara kwa mara nimekuwa nikisoma post mbali mbali katika mitandao watu wakilalamikia App ya MS TANZANIA (Mobile Solutions Tanzania APPS) ambayo inapatikana kupitia PLAY STORE. Inadaiwa kuwa ukiidownload APP hii unaweza kuingilia na kupokea mawasiliano ya simu ya mtu mwingine kama vile ujumbe...
Jana katika taarifa ya habri ya ITV nilimuona Mkuu wa Wilaya ya Iringa Ndg Kasesera akiomba wadau mbali mbali kutoa misaada kwa wahanga wa mafuriko ya Pawaga, sasa ilikuwaje akate misaada ya mbunge wa jimbo husika na kumdhalilisha kama sio choko choko za kisiasa?
Usimwonee Mwanakijiji amesema waziz wazi kabisa kwa kazi iliyostahili kufanywa na wapinzani sasa inafanywa na CCM yenyewe, hii ni kutokana na upinzani uliotegemewa na watanzania walio wengi kujhifaulishia watuhumiwa wa ufisadi katika vyama vyao
Dawa ya majipu haya yote ni JPM kuirejesha kampuni za umma za NASACO kuongoza shughuli za meli hap nchini na TIPER kusafisha mafuta hapa hapa nchini katika mikakati yake ya kufufua viwanda, Mwalimu Nyerere hakuwa mjinga kuanzisha hizo kampuni za umma.
Ikumbukwe hizo fedha zinazobanwa matumizi ni mali ya wananchi wote si za viongozi wa serikali waliopewa dhamna na wananchi, katika jambo kubwa kama hili nashauri tufanye kama wenzetu wa nchi za ulaya wanavyofanya ipigwe kura ya maoni (Referandum) hao wenye mali inayobanwa waulizwe kama wanataka...
Badala ya kupoteza muda humu ulitakiwa kutoa taarifa SUMTRA CC taasisi ya walai wa huduma zinzosimamiwa na SUMATRA. Hata ukigoogle utwapata anuani zao.
H
Jodoki umenena vizuri sana. Hata enzi za mwalimu wakati ardhi haina thamani watu walikuwa wakiuza viwanja, mashamba walivyoendeleza. Hoja hapa ni suala lijjlikanalo kitaalamu kama LAND SPECULATION yaani sheria kumpa haki mtu kulipwa fidia kwa ajili ya pori alilolishika tuu. Sina tatizo na mtu...
Hiyo ni mifumo ya kibepari ambayo hunufaisha watu wacahache sana ndni ya jamii na wengi huambulia matatizo kama matatizo ya migogor ya ardhi iliyopo sasa hapa nchini. Awamu hii tunatakiwa kuitumia kurejesha yale mambo yaliyomfanya mtanzania kuweka mbele utu na ubinadamu kama uliokuwepo enzi za...
Hapo kuna vitu viwili kuna "Land" and "Ground". Ameeleza kuwa kwa kusafisha ardhi haina maana kuwa ardhi imekuwa mali yako. Lakini pia maeeleza kuwa kwa kusafisha hicho kiwanja umeongeza thamani ya uwanja "Ground" sio ardhi. Ndio maana nasisitiza kuwa toka Sheria kutambua ardhi ina thamani kama...
Alithaminisha wapi na lini kwa mimi nilikuwepo wakati wa uongozi wake. Ilikuwa ni marufuku hata kuandikiana hati ianayotamka kuwa mtu amenunua ardhi. Hati hizo zilikuwa zinataja mtu kanunua shamba lenye mazao kadhaa wa kadhaa. Nitajie nchi imepata fiada gani toka Sheria zinzotamka kuwa ardhi ina...
Kwa kuwa umri wangu ni mkubwa kidogo nianze kwa kueleza hali ya umiliki wa ardhi hapa nchini ilikuwaje enzi wa Nyerere. Enzi hizo kwa mujibu wa sheria ardhi ilikuwa haina thamani. Serikali ilipokuwa ikitwaa ardhi kwa ajili ya maendeleo mbali mbali kama mvile kupima viwanja n.k ilikuwa ikilipa...
NINGETENGUA KUTUMIA "THE ENVIRONMENTAL MANAGEMENT ACT, 2004" THAT REPEALED "The National Environment Management Act, 1983" kuwabomolea wananchi ambao wamekuwa na makazi yao tokea miaka ya 1960 pasipo kuwalipa fidia na kupeleka kutendewa unyama mkubwa kiasi kile kwa familia na watoto kulala nje.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.