nashangaa mazingira yetu na jinsi watanzania wanavyojitafutia riziki hasa vijana inaonyesha wengi sana wanahitaji kusoma ufundi- mfano tunaona karakana nyingi mijini na vijijini zinafanya kazi zikiwa hazina mafundi waliosoma veta na kuna misululu ya vijana wanajifunza ufundi katika karakana...
nina wasiwasi na jinsi tunavyosisitiza watanzania wote kufikia elimu ya chuo kikuu(wasimamizi) na tukasahau kuwa tunahitaji pia watu wa elimu ya kati ambao hasa ni watenda kazi (mafundi mchundo). kwanini tunafikiria tu kuwa na high schools nyingi na siyo vocational training nyingi. sijui kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.