Search results

  1. K

    Edward leo atafanya uziduzi wa kanisa Mwanza leo 16/2/2014

    Jamani. Hata tunachojadili hakitupasi kwasababu kama ni pesa zenye dhambi karibu kila mtu anazipeleka kanisani, wengine wanauza pombe, ngono, wizi, mauaji, dhuluma na mambo mengi. Mungu mwenyewe ndiye atakae toa hukumu kwa vyote hivyo tumwacie yeye.
  2. K

    Ushauri kwa Mh. G. LEMA(Mb), Nenda katoe sadaka ya shukrani kabla ya 2014.

    Shukrani ni siri ya mtu kumtolea Mungu, unajuaje kama alishatoa? au mpaka atangaze kwamba ametoa shukrani? hata kama aliwaona yatima, wajane, walemavu na wagonjwa pia ni sehemu ya shukrani yake sio lazma kila mtu aijue.
  3. K

    Late Sedekia kumbe alichukuliwa kimzimu

    Jamani wapendwa tusinyooshee watumishi wa Mungu vidole, yeye Mungu mwenyewe ndiye aonae ya sirini.
  4. K

    Hivi nini kinawamaliza WASANII wetu wa BONGO MOVIE??

    usikurupuke kijana, mbona wengi wamekufa halafu unataja wawili wasanii? umechemsha
  5. K

    Ana hamu iliyopitiliza hadi namwogopa!

    Du ananguvu sana huyo demu au pepo la ngono, mnatumia condom? maana kama mnatumia angeshingwa maana ingemuumiza lakini hata kama utakuja kumwoa nakushauri tumia kinga msuguano ni mkali hapo
  6. K

    Mapenzi noma... Mapenzi ya uizi matamu. Mwisho wake nini???

    Ni kweli kabisa watu siyo wazinzi kivile hadi kuwa na mke au mume wa mtu ila chunguza utaona ndani ya ndoa zao kuna tabu kubwa sana, kama binadamu unafikiri cha kufanya unasema ok nitoke nje, siyo vyema na mungu atusamehe
  7. K

    Msafara wa Lema katika picha

    Hongera sana Lema Mungu yuko upande wako wenye mwili watakutenda nini?
  8. K

    Kwa Adhabu hii,mapenzi basi tena.

    Siyo poa kumfanyia hivyo mwenzio je na kwako ikikataa itakuwaje? ni kweli mwanaume anaweza kuwa kicheche mpaka ukaamua vinginevyo but ladies nawashauri kufanya hivyo ni very bad kama kweli inafanyika.
  9. K

    Ukiona watu wazima na akili zao wanafanya hivi kwa mwizi ujue kuna tatizo kubwa-Edson wa JF

    Kila kitu huku ni ushabiki tu, sasa hawa wote wanaweza wakakamilishiwa mahitaji yao na huyu jamaa, ninachoshukuru baada ya siku chache waliaibika vibaya mno, acheni ushabiki wa vitu ambavyo hata mungu havimrudishii sifa na utukufu bali ni ubatili mtupu
  10. K

    Huku ni kujilinda na nini?

    kama ni moshi vijijini atakuwa alikuwa anakata migomba mtoto akaugua ghafla akatoka na silaha kwa haraka alizokuwa nazo
  11. K

    Mwai Kibaki anamchukia Odinga?

    Hapo chuki iko wapi? mtu kaamua kutoa jicho lake amtazame mwenzake,
  12. K

    Kuangalia picha za ngono ukiwa pamoja na mpenzi wako ni sawa?

    mapenzi ni kufurahishana, kama utaangalia picha na mwenzako ukapata kipya nae akakipenda poa tu, siyo ulele kila namna pasipokujua inatoka wapi.
  13. K

    Cha mtu kitamuuu

    Inategemea ukigongea ukipata cha mtu poa, hakuna anaelazimishwa anamaamuzi yake akikubali poa
  14. K

    Huyu dada nampenda sana.

    [ Age is just a number kama unavyohesabu moja, mbili na kuendelea, sababu siyo umri tafuta jingine.
  15. K

    Masharti mapya niliyopewa na mama watoto baada ya kurudiana.

    Kwani mchana hutoki? kama anaogopa kuna jambo utalifanya usiku mchana haliwezekani? labda kama anakufungia usiku na mchana, makubwa, utapata wapi hata new ideas? mwanaume hapo yupi na mwanamke ni yupi? pole sana, kuwa makini.
  16. K

    Sambi sako bhee...

    kasheshe tupu huku tanzania, huweziamini but inaweza kuwa kweli.
  17. K

    Mother and daughter argument

    Wana JF nisaidieeni boobs ni nini? ni kweli imetulia lakini tuliomaliza katani ni tabu tupu.
  18. K

    Naibu waziri anapoacha kifua wazi sijui nani akishike?

    Mpeni pole, wanajisahau sana hawajui kama wao ni kioo kwa watu wote.
  19. K

    Swali kwa wanaume...

    Tena ni dhambi isiyosameheka, kwa nini usitumie kinachotakiwa kutumika katika shughuli hiyo?
  20. K

    Naona aibu jamani, nisaidieni

    pole ila cha msingi kama unaona aibu na mama mkwe yupo kamfungie nepi mwanao chumbani.
Back
Top Bottom