Search results

  1. C

    Kwa wazoefu wa online application

    Ni mradi flani wa JIca(Japan International co-operation agency)
  2. C

    Kwa wazoefu wa online application

    Mkuu nimepata ile kazi binafsi nakushukuru sana,sababu ulinipa jibu ambalo lilikuwa na tumaini na kweli imekuwa!
  3. C

    Kwa wazoefu wa online application

    Nashukuru sana kwa kunitia moyo,na mungu ameyafanya maneno yako kuwa kweli kwani ile kazi ambayo nilikuwa nimeapply wameniambia nireport kazini binafsi sina cha kukupa!
  4. C

    Institute of Finance Management (IFM) Final Exam results on SIS

    I am so gratefully to inform all Students of the Institute of Finance Management(IFM),that the result for End of 1 semester are now released only through Students Information System (SIS )of Individual students accounts.Kudos IFM management.
  5. C

    Inawezekana kujiunga na chuo cha udaktari na bado ukaendelea na ualimu?

    Mkuu itakugharimu sana nikimaanisha resource muda,nguvu,pesa na hata ufanisi pia ,ilakwa mtizamo wangu mimi ningeshauri utafuta course nyingine ambayo iko kwenye order of preference yako.
  6. C

    Uwezekano wa kutoka Form Four kwenda Diploma

    Uwezekano upo lakini endapo tu huyu mtahiniwa ataamua kujiunga na masomo katika fani za uuguzi na ufamasia au fani zote za uhandisi,na tofauti na Diploma za course nyingine hizi huchukua miaka mitatu badala ya miwili.
  7. C

    Kuitwa kazini TRA

    Sidhani kama ni kweli nachofikiri ni Job fever ndio inayoprevail kwenye brain za candidates hasa ukizingatia candidate amepiga hatua kutoka kwenye ile nyomi ya watu pale Diamond (Universal set) hadi kwenye oral interview (event set) kurasini ni lazima hii ndoto mara kwa mara ijirudie kwenye...
  8. C

    Msaada sehemu ya Kufanya mazoezi kwa vitendo-Uhasibu

    Mafunzo kwa vitendo bila shaka utakuwa unamaanisha Field Placements na sio Internship maana kwa ulivyoaandika inaonyesha huyo ndugu bado yuko shuleni,Nikushauri ajaribu kupeleka pale Tanesco hiyo barua yake ya Field mara nyingi huwa wanachukua bila ubaguzi na kama ni Internship basi ajitahidi...
  9. C

    Kuitwa kazini TRA (Wiki ya lala Salama)

    Candidates there is no need to panic on as you have already done your best the rest God will do
  10. C

    Kwa wazoefu wa online application

    shukrani mkuu!
  11. C

    Kwa wazoefu wa online application

    wapendwa nilijaza onlinejobapp form ilikuwa ikihitaji majina 3 ,basically natumia majina mawili so nikajaza 1st name & last name other name nikaandika abbreviation ya first name,wakaniita kwenye wrttn ,kulikuwa na 4m ya kujaza jina no ya mtihani na signature bt due to time i writted only 2 name...
  12. C

    Najuta kupangiwa field Mtwara

    Mkuu cheque kuungua sio issue nzito the matter is ,The fund is adequate ?.na kwa uzoefu wangu wa kadhia hii ya fedha cheque ikishazidi 10 million is immovable so huwa tunajaza form ya Tiss(Tanzania Interbank settlement system) and the fund will be moved electronically to the respective payee...
  13. C

    Heslb yawaka moto

    wanafunzi bana yani mnaoneana wivu ,hivi siku hizi mnakopeshana kweli maana nakumbuka enzi zetu tulikuwa tunasaidiana aliye na mkopo anamsaidia ambaye hana na ambaye hana sometime anakuwa njema anamboost ambaye anao siunajua tena kichuo yani kuiikuwa hamna vielement vya wivu kama nnavyoviona...
  14. C

    Ideal decimal places!

    Kwa wale statistician ,naomba mnijuze what is the ideal decimal places for correlation values especially r,can i write all significant figures as they appear in calculator!
  15. C

    Swift code in Tanzania

    unaweja kuniabia umbaligani(range) of the fees that most banks charge without considering the currency and other factor,muchappreciation in advance!!!
  16. C

    Swift code in Tanzania

    Please can I have swift cods information for receiving money from abroad particular in Tanzania,Thanks in advance!
  17. C

    Batch ni nini kwenye mambo ya Heslb?

    Wakuu jamvini nina mdogo wangu ambaye yeye alibahatika kuwa allocated na mkopo lakini cha kushangaza hadi sasa kwenye majina yote ambayo yamepelekwa chuoni kwake hajabahatika kuliona akiongea na loan officer anaambiwa batch yake bado haijatumwa sasa kwa sababu muda umekwenda sana tunaanza kupata...
  18. C

    Boom Boom!jamani

    wakuu naomba kuuliza,kwa wale ambao majina yao yametoka batch ya pili yatapelekwa vyuoni lini kwajili ya kusaini,wenye uzoefu au taarifa rasmi mlizozisikia,natanguliza shukurani za dhati!
  19. C

    Usainishaji wa mikopo first year!

    Akhasante mkuu!Nilijua dogo anatuletea hadithi za sungura na fisi,shukrani kwa confirmation .
  20. C

    Usainishaji wa mikopo first year!

    Wakuu jamvini kuna mdogo wangu 1st year amepata mkopo lakini jina lake halionekani kwenye orodha ya majina yaliyotumwa kwenye chuo chake amejaribu kufuatilia ofisi ya mikopo chuoni hapo akaambiwa kuna batch nyingine itatoka,wenye uzoefu tafadhali utaratibu umekaaje katika hili?
Back
Top Bottom