Search results

  1. K

    Nani alishawahi kufikiri hili?

    Natamani kama watanzania wote wangekuwa positive thinker kama wewe mkuu.
  2. K

    Nani alishawahi kufikiri hili?

    Ni takribani mara ya tatu sasa ambapovituo vinavyouza nishati ya mafuta (petrol,diesel) vimesuasua hasa baada ya bei mpya kutangazwa na ewura. Nakumbuka ilikuwa july mwaka huu ambapo mabo yalikuwa mabaya zaidi juu ya suala hili. Pamoja na haya yote serikali ilishindwa kutoa tamko la karipio kwa...
  3. K

    Mwaka unaisha ila tujikumbushe sasa

    malipo ya dowans, kuuzwa kwake, jairo kuomba rushwa na kusafishwa,makinda kutangaza posho mpya .........
  4. K

    Polisi wamgeuka msema kweli - wanamtafuta

    Hata hao polisi wanao mtafuta huyu bwana kwa kutumwa na wakubwa ni sawa na makopo ya choomi ambayo yakisha kutumika kwa mda mrefu na kuchakaa hutupwa na dhamani yake isikumbukwe tena . ngoja watumwe na wakubwa wamkamate ila wakumbuke kuwa wanalipwa laki mbili na wanalala kwenye nyumba za madebe...
  5. K

    Mrema:michango ya makanisa na misikiti sababu ya kuongezeka posho za wabunge

    hivi we unafikiri mrema ana akili timamu? kazeeka hadi utumbo yule .Waswahili wanasema ngombe hazeeki maini ila mrema kazeeka akili maini na ngozi!
  6. K

    Sababu za JK kumnyima Samuel Sitta na kumpa Anne Makinda nishani hizi hapa!

    tanzania nayo ina raisi? sema yule mtunza mafisadi
  7. K

    Maandamano nchi nzima yatangazwa baada ya bunge kukubali muswada wa sheria wa marekebisho ya katiba

    Watanzania wenzangu mimi inanisikitisha sa kuona serikali iliyoko madarakani haisikilizi na kufuata matakwa ya wananchi, Aliyoyaseme muheshimiwa Tundu Lisu Bungeni yana hoja ya msingi bila kufuata uchadema wala uccm. Wana JF na Watanzania wenzangu nahamasisha mgomo wa nchi nzima kupinga suala...
  8. K

    Mbeya yachafuka polisi wapambana na wamachinga

    I wisha i were there nchii hii imenichosha Nina imani kabisa mbunge wa mbeya mjini leo halali dodoma ataondoka kwenda mbeya tafadhali endeleeni na mwendo huohuo UKOMBOZI WA TANZANIA NI SASA
  9. K

    Mbeya yachafuka polisi wapambana na wamachinga

    watasema ni chadema na siyo kandoro aliyesababisha haya!
  10. K

    Hivi askari Polisi wa Tanzania hulipwa mshahara kiasi gani?

    mi nilijua ni ka milioni hivi manake wamejaa misifa hao utazani ndo hawana shida kumbe ndo mana wengine hata nguo za kubadilisha hawana wanashindia sare zao hata ikiwa hawapo zamu!
  11. K

    Tafadhali changia kujibu swali hili kuonyesha mchango na mtazamo wako

    Kwanini kila watu wanapoanza kuhoji kuhusu DOWANS kunakuwa na mgao wa umeme?
  12. K

    50 years of independence of Tanzania Zanzibar exclusive

    It is my conviction that the name TANZANIA came to exist after the unification of TANGANYIKA and ZANZIBAR in 1964. This unification has just lasted for 47 years. When the unification of two countries took place it should be noted that ZANZIBAR had just undergone  revolution three months...
  13. K

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    waache wahongwe ila waliona tunisia misri na kwiningineko mambo yalivyokuwa !
  14. K

    Kwa staili hii, CHADEMA itavunja muungano

    kwani we ulitakaje mkuu !
  15. K

    Kasheshe la Mafuta: Dar kimeanza kuwaka, vituo kadhaa vyaanza kutoa mafuta!

    Nainoea huruma sana serikali ya jamuhuri ya muungano wa tanzania kwani imejiingiza kwenye tatizo ambalo viongozi wasipokuwa makini litawadhalilisha wao p0amoja na serikali yao kwa ujumla,kutangaza bei ya mafuta na kushindwa kuwa na power of command juu yake ni aibu kwa serikali japo hakuna...
  16. K

    Dar es salaam kwa waka moto

    Ndugu wana JF nimezunguka toka asubuhi natafuta mafuta kila kituo nilichofika naambiwa mafuta hakuna ,pump mbovu na kwingine wahudumu hakuna adi gari imenizimikia njiana. nimetembea kutafuta chakula pale ninapokula siku zote bei zimeongezeka kwa miatano zaidi magari barabarani yamepungua na...
  17. K

    Obama na Kikwete: Wanafanana?

    No way Obama is thousands kilometres away think of vastiness of USA then think of Tanzania then and compare again m sorry for this hii ni sawa na kufananisha KIFO na USINGIZI
  18. K

    Hii ndiyo rekodi ya uchapakazi wa Lowassa

    Anaikopesha ccm huyu kwa wizi wake ndo mana wanaogopa kumfukuza
  19. K

    MLIMANI TV LIVE:James Mbatia aongelea mstakabali wa nchi

    siku zote mkiambiwa ukweli mnabwawaja ila siku zaja hata kenya ilikuwa hivihivi ila tulishuhudia KANU ikipotea hadi leo
  20. K

    Wabunge wa Tanzania na siasa za Kishabiki

    Tofauti kabisa na nchi nyingine Africa na hata duniani Wabunge wetu wamekuwa bado na mtazamo duni wa kuendesha siasa za kishabiki Bili kutazama Maslahi ya nchi. Ni mara nyingi tuneona viongozi wa ngazi za juu kabisa wakifanya mambo huku wakipendelea maslahi ya chama fulani. Hivi karibuni...
Back
Top Bottom