Search results

  1. Polite

    Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

    Nyie ndo mnalazimisha hofu za covid.anayefanya maajabu Ni mungu,covid hamna lolote
  2. Polite

    Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

    Kama mpendwa wetu JPM anaumwa,tupo tunamuombea in shaa Allah atapona.
  3. Polite

    Kweli shetani anamakusudi sana

    Hio Hali inawakuta wengi,badilisha line ya simu,achana na hao maduu uitafute ladha ya ndoa
  4. Polite

    Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

    Huwezi kumtolea Mama mfano wa hivyo hio ni kuonyesha your uncuth,uncivilized, barbaric and you have a mediaval state of mind Mifano ya hivyo hutolewa na watoto wa nnje ya ndoa,where you born out of weedlock Your degrading Women,You luck Euphemisim in your lexicon Have a pure mind and vote...
  5. Polite

    Uchaguzi 2020 Tume iwaapishe mawakala wa vyama vyote bila upendeleo

    Ha ha ha ha itakuwa story za vijiweni
  6. Polite

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

    Ha ha ha ha ha tatizo sio wagombea , Tatizo nchi hii Kuna mijitu hata uifanyie wema gani Haina shukran,mijitu Kama hii ndio inatusababishia watu wengine matatizo Humu jf mijitu imejaa chuki za kijinga na roho mbaya Awamu zote mbili kazi yao Ni kutukana matusi humu,unajiuliza Hawa watu wanataka...
  7. Polite

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli ongea na wazee, wakuu wa Taifa! Sioni mwisho mwema kama nabii

    Uwe unaambatanisha na picha unapomtaja jpm
  8. Polite

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kampeni ya Dkt. Magufuli kuwania Urais 2020-2025 mikoani Iringa na Njombe (Sept 29, 2020)

    Taifa Kwanza ,kwani maendeleo anayofanya jpm,anafanya kwenye taifa lipi?
  9. Polite

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kampeni ya Dkt. Magufuli kuwania Urais 2020-2025 mikoani Iringa na Njombe (Sept 29, 2020)

    Hongera Sana jpm,nimekusikiliza hata huko mbeya mwanzo mwisho
  10. Polite

    Uchaguzi 2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

    Kama unacontribute kwanini unaiita white elephant?
  11. Polite

    Uchaguzi 2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

    Acha kuhamisha shutuma zisizokuwa na ushahidi
Back
Top Bottom