Unajua nimewapigia vodacom waniambia pesa wao wameshafikisha selcom na niwasiliane nao, sasa kupata namba ya hao selcom ndiyo tabu nyingine ila naamini humu humu nitapata msaada ngoja wadau waamke
Nani anatumia bet ya kampuni ya 888star anisaidie jama?
Kuna hii pesa tangu jana nimedepost mpaka sasa empty account
ALR2BQ19DFW Imethibitishwa. Tsh5,500.00 imetumwa kwa SELCOM DUKA DIRECT kwenye akaunti namba 80076664-9459953355 tarehe 27/12/23 saa 12:44 PM Ada Jumla Tsh500.00 (M-Pesa Ada...
Hivi ni kwamba mpaka leo mikopo ya wale waliomba awamu ya pili hamjalipwa?
Ama mmesahaulika aisee! Kama kumbukumbu yangu sii mbaya nakumbuka walisema mpaka taehe 19/11/ 2023 mtakuwa mmejichukulia tayari?
Hii serikali ina watu wa ajabu haijawahi tokea๐๐ป
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.