Search results

  1. H

    Lowassa apata wadhamini zaidi ya Million moja laki tatu, Aweka rekodi mpya kwa wagombea urais

    ¤Mamvi bwana ni hatari sana ¤Ndani ya siku 3 ameweza kipata wadhamini 1.6 Million wa CHADEMA ¤Wakati akiwa CCM alipata wadhamini 870,000 (karibia nusu ya 1.6M) kwa kuzunguka mikoa yote kwa kipindi cha karibia mwezi mzima ¤Wadhamini wa CHADEMA kawapata wapi?
  2. H

    ACT watakuwa wasaliti wakimuunga mkono LOWASSA

    Nasikia ACT Wazalendo wanajipanga kutoa tamko la kumuunga mkono Lowassa kwenye urais. Hivyo wao hawatasimamisha mgombea urais, japo hawatakuwa ndani ya UKAWA. Tamko lao watalitoa tarehe 13-Aug-2015 kwenye mkutano wao mkuu. Itakuwa siku 2 tu kabla ya kuanza kampeni. Iwapo ACT watamuunga mkono...
  3. H

    PUBLIC SPEAKING: Magufuli vs Lowassa

    ¤Kwenye suala la public speaking, Edward Lowassa anatia huruma sana. ¤Nimeona siku akijiunga na CHADEMA. Hotuba yake alikuwa anaikosea kosea japo yote alikuwa anaisoma. Kwenye mkutano ule alifunikwa sana na hotuba ya Freeman Mbowe. ¤Akiongea bila kusoma, hususan akijibu maswali, anakuwa na...
  4. H

    Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Mamba ana nguvu akiwa kwenye maji. Lakini sio nje ya hapo. Lowassa ni kama mamba. Wapo wanaosema wajumbe na wanachama wengi wa CCM ni wafuasi wa Lowassa. Wapo wanaosema 3/4 ya wabunge walikuwa wanamuunga mkono Wajumbe wa CCM wanaweza kuwa wafuasi wake akiwa CCM maana wanajua angeshinda urais...
  5. H

    Lowassa apoka demokrasia ya chadema (aliyoilalamikia ccm)

    ¤Lowassa analalamika CCM imepoka demokrasia ili asiwe rais. ¤Lakini yeye mwenyewe anapoka demorasia ndani ya CHADEMA. Ameshinikiza viongozi wamsimamishe awe mgombea urais bila kushindanishwa na wagombea urais wengine ¤Anajua lazima atashindwa kwenye kura ya maoni kama akishindanishwa na...
  6. H

    Lowassa ana bahati sana, sababu Magufuli hafai

    ¤ Kwenye suala la public speaking, Edward Lowassa anatia huruma sana. ¤ Nimeona siku akijiunga na CHADEMA. Hotuba yake alikuwa anaikosea kosea japo yote alikuwa anaisoma. Kwenye mkutano ule alifunikwa sana na hotuba ya Freeman Mbowe. ¤ Akiongea bila kusoma, hususan akijibu maswali, anakuwa na...
  7. H

    Mustakhbar wa Lowassa atakapo katwa na wananchi 25-Jul-2015

    ¤Lowassa haendani na CHADEMA hata kidogo. ¤Labda hata hajui katiba ya CHADEMA. Hajui hata ilani ya uchaguzi ya CHADEMA. ¤Vipaumbele vyake ni tofauti kabisa na vya UKAWA. Yeye ni mtu wa "ELIMU KWANZA" ¤Kwenye suala la katiba mpya alipiga kura ya NDIO kwenye katiba inayopendekezwa ya...
  8. H

    Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    ¤Mamba ana nguvu akiwa kwenye maji. Lakini sio nje ya hapo. Lowassa ni kama mamba. ¤Wapo wanaosema wajumbe na wanachama wengi wa CCM ni wafuasi wa Lowassa. ¤Wapo wanaosema 3/4 ya wabunge walikuwa wanamuunga mkono ¤Wajumbe wa CCM wanaweza kuwa wafuasi wake akiwa CCM maana wanajua...
  9. H

    Ujio wa Lowassa CHADEMA: Kuna kundi wamesusa, wanapanga kurejea CCM!

    ¤Lowassa analalamika CCM imepoka demokrasia ili asiwe rais. ¤Lakini yeye mwenyewe anapoka demorasia ndani ya CHADEMA. Ameshinikiza viongozi wamsimamishe awe mgombea urais bila kushindanishwa na wagombea urais wengine ¤Anajua lazima atashindwa kwenye kura ya maoni kama akishindanishwa na...
  10. H

    Lowassa amtaka Zitto UKAWA

    Zitto Kurudi UKAWA/CHADEMA baada ya Lowassa Kujiunga na CHADEMA ¤Zitto Kabwe atarudi UKAWA (au CHADEMA) baada ya Lowassa kuingia CHADEMA. ¤Lowassa akishaingia CHADEMA itakuwa haina maana tena kwa Zitto kuendelea na mradi wa ACT Wazalendo. ¤Hii ni kwa vile team Lowassa ndio iliyokuwa...
  11. H

    Sababu top 10 zitakazoua UKAWA

    SABABU TOP 10 ZITAKAZOUA UKAWA ¤UKAWA itakufa kabla ya uchaguzi au muda mchache baada ya uchaguzi. Zifuatazo ni sababu 10 zitakazoua umoja au kuufanya usiwe na nguvu (powerless and irrelevant) 1. MSINGI Ili umoja udumu unahitaji msingi (foundation). Umoja wa UKAWA umejengwa kutokana na suala...
  12. H

    Analysis: Sababu 10 kwanini Lowassa kuhamia CHADEMA sio tishio

    ¤Wapo wanaoamini kwamba Lowassa akihamia CHADEMA basi ataleta mafuriko zaidi ya yale ya mwaka 1995 pale Augustine Mrema alipohamia NCCR Mageuzi. ¤Nitatoa sababu 10 kwa nini bado naona kuhamia CHADEMA kwa Lowassa bado kutakuwa na athari ndogo za kisiasa kwa CCM. 1. Makamanda wengi wa...
  13. H

    Masha Mining Review Report and Nyalali Commission Report

    Kama kuna mtu ana report (zote au mojawapo) kati ya ile Waziri Masha juu ya madini na ile ya tume ya Nyalali ya mwaka 1991 nitashukuru sana kama atatutupia pande hii. I have been googling it up but to no avail. Thanks in advance.
  14. H

    Tozo za Mafuta

    Thank you PgSoft2008 and Shark. Kwa kweli hii situation sijui ya CIF price gani ambayo unaweza ku-make profit without kuchakachua. INDICATIVE PETROLEUM PRICES - EFFECTIVE 08.06.2011 Average Platt's Average: 09 - 20 May 2011 EXCHANGE RATE = 1,555.31 0.736 0.833 0.786 CONVERSION...
  15. H

    Tozo za Mafuta

    Nimesikia kuna tozo kama 21 ambazo ndio zinafanya bei yetu ya mafuta inakuwa juu. Je, kuna mtu anayo list ya tozo zote hizo na kiwango chake (amount) au asilimia zake (percentage). Nitashukuru kama nitapata link ya website ambayo details ya information zake.
  16. H

    Maswali muhimu kwa JK baada ya kujivua gamba!

    Wakati wa uchaguzi wa uenyekiti wa UVCCM, JK alimponda Nape kwa sababu kadhaa ikiwemo umri. Alimpeleka Masasi kabla ya kumuibua kwenye secretariat. Watu wanazungumzia kuhusu Lowassa aondolewe NEC, you never know atamuibulia wapi. Kwa nini walifanya kikao cha faragha. Je, anaweza kumtosa kimoja...
Back
Top Bottom