Search results

  1. D

    Maajabu ya dunia

    miundombinu!
  2. D

    Ndivyo tunakwenda na wakati?

    maziwa style!
  3. D

    Jamani beach kuzuri balaa.....

    maziwa!
  4. D

    Niaajee Mtu Wangu Makamba!!!??

    inawezekana
  5. D

    Andrew Chenge: Kwangu gamba limeishia kiunoni tu

    Wednesday, 27 April 2011 21:59 Ramadhan Semtawa MBUNGE wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge amesema anasubiri taratibu za Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuona kama atapewa barua ya kumtaka ajivue nafasi zake za uongozi kwani hadi hivi sasa hajui kitu hicho.Kauli hiyo ya kwanza ya Chenge...
  6. D

    Angalia watanzania Jinsi wanavyoongea juu ya kile wanacho amini

    Ndg, wana JF; poleni na majukumu ya kuelimisha jamii yetu ya Tanzania; Katika pitapita yangu ndani ya ulimwengu wa tovuti mbalimbali nilikutana na mwanablogu mmoja anajiita BC kutoka blogu ya Wazalendo Forums - Powered by vBulletin. Ndugu yetu huyu alikuwa anafanya mahojiano na na binti fulani...
  7. D

    Risk Assessment and Management: CHADEMA nayo Imuondoe Dr. W. Slaa!

    Waberoya umeniamsha naenda kuandika insha kwa ajili yako. Mimi siangalii ni nani amenandika ila najibu mapigo kwa niaba ya mpiganaji wetu Dr Slaa. Najua utakuwa mdogo sana kwa umri, elimu, ujuzi na maarifa kwa Dr Slaa. Hata experience zako ktk chama chochote hapa tanzania nadhani ni ndogo...
  8. D

    Jamani hivi ndivyo bagbo alivyo tafutwa na kukamatwa ndani ya ikulu. (video full)

    embu itazameni hii video kisha dondosha ujumbe wenye akili http://www.eastafricantube.com/media/46285/Dramatic_video_of_Gbagbo_arrest_as_troops_storm_Iv ory_Coast_residence/
  9. D

    Naomba mnipokee!

    Nawashukuru nyote, kwa moyo na upendo ktk jamvi hili. Asanteni sana
  10. D

    Naomba mnipokee!

    Hello wa kina Baba, Mama, Kaka, dada, na wadogo zangu salamu ziwafikie. Najitambulisha kwa jina la DEKA mgeni ndani ya nyumba ya maarifa. Nipokeeni kwa mikono miwili ktk Bustani hii ya mawazo ili nami niwe mpandaji tkt bustani hii nzuri hapa nyumbani. Asanteni.
  11. D

    Portable Celebrity

    Ni mzuri!
  12. D

    Wife material Loh!!!

    Huyo ni Love a.k.a diva
Back
Top Bottom