Habari ndugu zangu.mimi nafanyia shuguli zangu mikoani ila nataka nije dar nitafute bajaj iliyotumika ila iwe bado nzima inatembea.sababu naona dar zipo nyingi.mwenye nayo anichek what sap 0757 539994
Jaman habari za asubuhi?mimba yangu ni ya miezi miwili na wk moja.lakn leo asubuhi nimeshangaa kuona damu kidogo inatoka.je inaweza ikawa nitatzo madokta?
Bonjour monsien Russian roulete.j'espere vous me conaitez bien.parcque nous parlions daniere anees.pour utiliser jf.je continuent aprendre français ici arusha.parcque je veur etre tour guide.mais je veur plus practique.mercibouk.
Jaman za hasubuhi?mim mzunguko wangu wa siku ni siku 34.sasa juzi umefka muda wa kuona siku zangu nashangaa niliona vidamu vidogo nikipangusa,alafu baada ya siku kama 2 vikakatika.naomba msaada wenu jamani,inaashiria nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.