Search results

  1. S

    Hii ni kwa wana-CHADEMA tu

    hiyo imekaa poa mkuu. mpango mzma ni ukomboz
  2. S

    How 2get ababy boy or girl?

    Hello JF! naombeni msaada kuhusu hiyo title.
  3. S

    Setup for crack kas per sky ant-virus

    Jamani kama kuna mtu anayefahamu jins ya kuchakachua kas per sky naomba atusaidie
  4. S

    Matatizo yanayosababishwa na kutumia computer muda mrefu

    Hello JF mebers! mm ni mwanafunz na nimekuwa na tabia ya kutumia laptop kusomea kila siku coz material niliyonayo mengi ni soft copy. kwa sasa ni takribani mwaka wa pili huu ninatumia bila protection yeyote na huwa natumia hata zaid ya masaa sita per day. Je ni matatizo gan ya kiafya yanayoweza...
  5. S

    Athari za kutumia kompyuta mda mrefu

    Hi jf members! mimi ni mwanafunz wa chuo na mara zote nimekuwa nikitumia laptop kusomea at least masaa sita kwa siku.je kuna madhara gan?
  6. S

    Ni sahihi wabunge knunuliwa mashangingi na si landcruzer hard board kama lengo ni kupunguza gharama?

    kwa mtizamo wangu sio sahihi. kitendo cha wabunge kununuliwa mashangingi na kilipwa hela kubwa wanaonyesha dhahiri ni jinsi gani walivyo after money. hata wale wapinzani tunaowaamini na wenyewe wapo kimaslai yao zaid coz kama waliweza kutoka nje kutokusikiliza hotuba ya rais kwa nn...
  7. S

    Uume kusinyaa

    Habari zenu wana JF nina rafiki yangu aliyeoa hivi karibuni miez 2 iliyopita. tatizo lake ni kila akifanya mapenz anaishia mabao mawili tu then uume unasinyaa jambo ambalo mke wake analalamika hatosheki na mwendo wa viwili. nilimshaur asifanye sex mfululizo angalau asubiri labda baada ya cku 3...
  8. S

    Muda sahihi wa uchumba ni upi?

    kama kwel mnapendana hamtachokana
  9. S

    Lema awasha moto tena chuo cha uhasibu

    BIG UP LEMA!! hao 90 kwa kutambua walkuwa in wrong way ni ujasiri na mwendelezo wa mabadiliko kilichobaki wanatakiwa wapeleke nuru hiyo kwa walio gizani TANZANIA YA MAFANIKIO NA MAENDELEO YA KWELI INAWEZEKANA!!!
Back
Top Bottom