Search results

  1. F

    Msaada: Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa

    Jamani msaada wa kujua tatizo na tiba kwa anaejua. Wife amekua akipata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa hali inayopelekea tusifurahie kabisa raha. Mara nyingine amekua akinipa tu kwa hofu kuwa napokosa muda mrefu naweza mchiti jamani naombeni muongozo wa kujua tatizo na tiba sahihi...
  2. F

    Nafasi ya kazi kwa waalimu

    nafasi 2 za waalimu wa diploma au degree kwa masomo ya physics chemistry,biology, na mathematics, shule ipo morogoro mjini[kihonda] kwa yeyote mwenye sifa hizo tuwasiliane kwa 0713891059
  3. F

    Kwa hili msigwa amepoteza sifa za uongozi!! Someni fb anavyowatukana watu wanaompinga

    nyakarungu greyson tunajua nawe ndo ulokua unakula zile 150000 toka kwa zzk,sasa sishangai kwa kuja na hoja dhaifu kama hii,najua una uchungu kiasi gan baada ya kutumiwa na kwa unafiki mlidhani hamta bainika,
  4. F

    Kifo cha dr. Mvungi si ujambazi bali tukio lamtandao, askofu same

    Eti tumekamata bastola,simu na panga. Bila aibu wapi laptop iliyoibwa? Yaleyale ya mkenya
  5. F

    Denti anayedaiwa kubakwa na Kapuya huyu hapa

    Magazeti ya shigongo yanaandika utumbo siku zote.
  6. F

    Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar

    Nimepita hapa maeneo ya ilala karibu na club ya wazee, kuna mauaji yametokea kwa watu wawili kupigwa risasi na muuaji nae kajiua,pia wawil wamejeruhiwa. Taarifa zaid ntawajuza. Kwa mujibu wa shuhuda wa Clouds FM. Mauaji hayo yamefanyika maeneo ya Ilala, kataja maeneo kwa jina lake maarufu...
  7. F

    Msaada kutambua namba hii +255262604828

    Wadau naomba anaeitambua namba hiyo +255262604828 anijuze mana nimekuta miscal. Nasi tulituma application tunapokuta namba mpya za cm za mezan tunajua labda umeitwa sehemu. Nimejaribu kuipiga haipokelewi
  8. F

    Msaada: Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa

    Jamani heshima kwenu wote! Naheshimu mawazo na ushauri wenu., nina sumbuliwa na tatizo la kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa nikiwa ni mwanamke hali inayopelekea kutofurahia kabisa tendo ilo, mwanzon nilidhan ni maandaliz duni lakin kadiri navozidi ndo napata maumivu zaidi kiasi hata...
  9. F

    Hivi Mgao umeanza tena kimyakimya?

    usingoje kutangaziwa ukiona umekatika jua ndo umeanza ivo ooooo
  10. F

    Ajila za ualimu mwaka huu

    sina uhakika ila ngoja tungoje tutajua tu
  11. F

    sina raha na ndoa yangu......

    heshima kwenu wote,................wana jamvi,ni takribani mwaka wa tatu sasa tangu niingie ktk ndoa na mwanamke ambaye niliamini tunapendana sana,lakin mambo yamenibadilikia hasa baada ya wife kuhitimu masomo yake ambayo pia nilimgaramia kama njia ya kumkwamua kielimu na kwa maisha ya baadae...
  12. F

    Changa la macho

    mambo ya makulumbembe hayo,safi sana
  13. F

    Yanga Vs Azam

    azam 3 yanga 1
  14. F

    Uchakachuaji wa fedha za walimu wapya.

    dah mi nimepewa f35 kwa siku 4 wameniibia kabisa
  15. F

    PhD. ya Katibu Mkuu wa Chadema Wilbroad Slaa, ni sahihi?

    unaonesha umbumbu wako uliza kwanza ya jk:poa
  16. F

    Mpango wa mishahara dirishani

    Jamani ule mpango wa serikali kulipa watumishi wake mishahara ya januar umeanza kutekelezwa au ilikuwa mbwembwe zao tu. Kwa alie na taarifa rasmi ya utekelezaji wake atujuze!
  17. F

    Nifate utaratibu upi ili niweze kutambuliwa kwa level yangu ya elimu

    Naomba ushauri na muongozo katk hili. Mimi niliajiriwa km mwl. Wa shule ya msingi(gvt) na kuamua kujiendeleza hadi kufanikiwa kumaliza shahada ya uhasibu mwaka 2011,lkn ktk kipindi chote hicho muajiri wangu alikuwa hajui km nasomea fani tofauti na ualimu,na sabubu ya kumdanganya kuwa nasoma...
  18. F

    Mwanaume Abakwa na Wanawake 10

    inawezekanaje mwanaume kubakwa!ilisima
Back
Top Bottom