Search results

  1. Mamndenyi

    Nukuu 10 za Jenerali Mabeyo

    Aliumwa nini? Kitendo cha kusema nikafie nyumbani kwamba there was no point of return.
  2. Mamndenyi

    Habari za Kifo cha Magufuli zilivyonifikia nikiwa Gerezani

    Ni kama hii ilikuwa kuwekwa tena hapa. Let Mheshimiwa Rest in Paradise
  3. Mamndenyi

    Jesca Magufuli achangia Ujenzi Nyumba ya Katibu UVCCM Wilaya ya Chato. Asisitiza Kumuenzi Hayati Magufuli

    Baba yake alitoa hizo shahada aise, she was awarded master degree
  4. Mamndenyi

    Mume ajipiga punyeto mkwe akiwa mjamzito. Nini kifanyike?

    Huko vyumbani yanayofanywa ni mengi sometimes ni magumu pia
  5. Mamndenyi

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Sikusikia akitaja kilichomwondoa Mheshimiwa,, Ni nini kimetokea mpaka yaongelewe leo?
  6. Mamndenyi

    Mnaoishi na wanawake mnawezaje? Miezi 3 naona kama miaka 44

    Mmoja hapa kasema mke wake anampiga
  7. Mamndenyi

    Naomba kuelimishwa ni kwanini Makamu wa Rais Samia hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa ya kifo cha Hayati Dkt. Magufuli?

    Umeandika mengi mno. Ni kama vijana walitaka wafanye yao wakashtukia
  8. Mamndenyi

    Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

    Kalusha Bwalya
  9. Mamndenyi

    Usimamizi wa mirathi

    Nenda mahakamani ya mwanzo , ukifika pale wapo wale waheshimiwa yaani wapo tu, mwombe mmoja pembeni uongee naye akushauri, hope utamwachia ya ku brash viatu
  10. Mamndenyi

    Madai ya Janeth Shayo, Mkazi wa Uru, Moshi, kutosikilizwa

    Asante Mheshimiwa kwa kujali. Nilishangaa kusoma malalako kwako wakati nakufahamu unavyowajibika haraka, inawezekana kulikuwa na namna ya kuficha habari hivyo muhusika akapewe watu fake. Natamani uwe Mbunge wa jimbo la JF. 🤣🤣
  11. Mamndenyi

    Usimamizi wa mirathi

    Mnakaa kikao wana familia mnamchagua msimamizi wa mirathi. It's a process kiasi utataka hata kuwa na mwanasheria
  12. Mamndenyi

    JamiiForums Usiku wa manane

    Popoz
  13. Mamndenyi

    Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

    Huko shule ningesoma kwa umakini hivi ningekuwa na PhD
  14. Mamndenyi

    Walimu kupiga watoto mpaka kuua! ipo siku atauliwa mtoto wa kiongozi ndipo tutaamka

    Watoto wao wanasoma ulaya. Hawa wetu wanaenda shule hawajala chochote tena upige fimbo tano, jua wewe umeshaua na utafungwa tu bure
Back
Top Bottom