Search results

  1. Maarko

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Kwa anayejua anipe elimu ya pombe Kali...kwa mfano.. WHISKEY:,inaanzia volume alcohol ngapi, GIN:inaanzia ngapi mpaka ngapi BRAND: inaanzia V ngapi mpaka ngapi... Na nyinginezo.
  2. Maarko

    Askofu Bagonza: Rushwa imesababisha Bandari ifanyiwe kinachofanyika

    Wanadamu wenye akili ndogo (Kama wewe) humshambulia mtu badala ya kushambulia HOJA. Unaleta vioja kwenye Mambo ya msingi badala ya kujibu HOJA.
  3. Maarko

    Nahitaji kumpima DNA za Mtoto, Naomba kufahamu taratibu za upimaji

    NAKUSHAURI HATA HUYO MWINGINE UKAMPIME DNA PIA,DUNIA INA MAAJABU MENGI,
  4. Maarko

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Mechi saa ngapi leo?
  5. Maarko

    Rais Samia amualika nabii mkuu Geodavie Ikulu ndogo ya Arusha na kumpongeza

    Mtoa Mada alikua na Hoja nzuri,Ila wachangiaji kwa kujua au kutokujua mkaivuruga kwa kuruhusu hisia na tafsiri pamoja na mihemko za KIDINI kuvuruga.
  6. Maarko

    Luhaga Mpina: Katiba iliyopo ina matobo ndio maana Viongozi kama Waziri wa Fedha wanalichezea Bunge. Viongozi wasiteuliwe bali wafanyiwe Usaili

    Akiwa nje ya Box ndio anaona hayo,alipokua ndani ya system aliwahi kudai hivyo?!! Huyo ndiye aliyepima "SAMAKI KWA RULA"
  7. Maarko

    Kikwete wa Kenya na Kikwete wa Tanzania ni watu wawili tofauti

    Kenya wamefika hapo baada ya Wananchi kujitambua,kumbuka 2007 Mwai Kibaki alichokifanya,Wanacho wakachukua hatua iliyopelekea kupatikana kwa Tume huru ya Uchaguzi mnayoisifia leo,sisi wa Tz hatujitambui.
  8. Maarko

    Dunia yetu ndivyo ilivyo?

    Ni kweli kuwa Dunia yetu Ina umbo la yai, hii inapelekea baadhi ya maeneo Duniani kuwa na Usiku mrefu kuliko mchana au Mchana kuwa mrefu kuliko Usiku, na sehemu nyingine kwa kipindi fulani kuwa mchana tu (Hakuna Giza) na sehemu zingine kuwa Usiku tu (Jua halionekani) Je hizi sehemu...
  9. Maarko

    Tujuzane yanayojiri Mahakama Kuu Kesi ya Halima Mdee na wenzake vs CHADEMA

    Paskali anatoa maoni yake kwa mkakati mkubwa,bado anaamini siku moja atateuliwa kua mkuu wa Wilaya...
  10. Maarko

    Inashangaza Kenya wanalalamika mambo ya Loliondo na wanahojiwa Aljazeera TV. Je, kuna mamluki Loliondo toka Kenya?

    Vyombo vya habari vina mbinu nyingi ya kupata habari wanayo itaka,hapa Nchini vyombo vingi vya habari vimebanwa,hivyo Aljazeera wakaamua kutumia mbinu kupata maoni. Lakini pia Wananchi wa Kenya Wanayo haki ya kutoa maoni yao kuhusu Nchi Jirani Kama Vile na sisi tunavyojadili uchaguzi wa kwao...
  11. Maarko

    Huna hata neno moja kwa ndugu zako wa Loliondo?

    Kuna vitu sijavielewa vizuri aunpengine wengi wetu humu hatukifahamu vizuri. Kuna Migogoro miwili,**** Loliondo ilianza Toka kipindi Cha Mzee ruksa (R.I.P STAN KATABALO),na Kuna huu mpya wa kuwahamisha Wamasai kwa nguvu kutoka makazi yao ya miaka na "mikaka".... Loliondo imeibuka Tena siku za...
  12. Maarko

    Watanzania msikariri, si kila anayetokea mkoa wa Mara ni Mkurya

    Kadri miaka inavyosonga mbele ndivyo ambavyo ukabila unazidi kuenea Tanzania,Marehemu Baba wa Taifa Julius Nyerere (Mwenyenzi Mungu amremhemu) alijitaidi sana sana kuondoa ukabila,ipo siku tutakua kama majirani hadi kupigana makabila.
  13. Maarko

    Hongera sana mtangazaji wa RFA, Mtani Wambura kwa kuongelea ukabila na udini

    Leo Tar 30/05/2022 mtangazaji nguli wa Radio free Africa MTANI WAMBURA kwenye kipindi chake Cha alfajiri, amezungumzia kitendo Cha watanzania kujijengea taratibu ya Ukabila na Udini: Ni ukweli usiyopingika Tanzania ya Leo siyo Ile aliyoicha Baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere,Sasa hivi Ukabila Ni...
  14. Maarko

    Wabunge 19 Viti Maalum CHADEMA wafungua kesi. Bunge lasema linasubiri uamuzi wa Mahakama Kuu

    KWA HIYO MBOWE NDIO ANAMKATAZA SPIKA ASIFUATE SHERIA?!?! Mbunge anapopoteza sifa ya kuwa mbunge, whether kwa kufukuzwa uanachama au kwa sababu nyingine yoyote, hastahili kuendelea kuwa mbunge kwa siku moja zaidi. Na hali hiyo inaendelea hadi hapo Mahakama Kuu, au Mahakama ya Rufaa ya...
  15. Maarko

    Wabunge 19 Viti Maalum CHADEMA wafungua kesi. Bunge lasema linasubiri uamuzi wa Mahakama Kuu

    CHADEMA HAWANA MUDA WA KUHANGAIKA NA HII KESI,WALISHAMALIZA UPANDE WAO,WAKAE MPAKA 2025 NI SAWA TU.
  16. Maarko

    Kesi dhidi serikali kuhusu bomoa bomoa ya nyumba Kimara hadi Mbezi

    Kesho.... 4/5/2022 Au 5/4/2022?
Back
Top Bottom