Daah watanzania Kwa kutotumia akili hatujambo...hiyo Dodoma mnayoisema Kila siku ukame ndivyo ilivyo mungu alivyoiumba...sasa ulitaka watu wa Dodoma wafanyeje na huo ukame?? Kama Moshi pa kijani ndo hivyo palivyoumbwa..acheni ushamba Kwa kusema vibaya maeneo ya watu utadhani mmeombwa kuishia...
Chondechonde viongozi wa Tanzania wakati ndio huu. Wakati nchi nyingi hapa Africa zinastruggle kutafuta kujulikana kisoka hapa nyumbani MWenyezi Mungu ametubariki kwa namna nyingine na ya kipekee, kuna mambo machache ambayo serikali yetu ikiwa makini nchi itafika mbali hata kama hatuna vipaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.