Search results

  1. I

    Zitto kugombea urais 2015?

    Nimefuatilia maoni ya watu mbali mbali ktk mada hii lkn nimegundua kwamba kuna watu wanafikiri Zitto anaonewa, binafsi nasema sikweli. Zitto amekuwa overconfidence mno, nilimpenda mwanasiasa huyu lkn inavyooneka hawezi kuwa kiongozi kwani anajiangalia yeye kama yeye. Yeye anatakiwa kuwa...
  2. I

    CHADEMA yalipuliwa

    Mchungaji huyo hana kitu. Hata mimi siko mbali na msemaji aliyesema anaganga njaa huko mahakama kuu. Angalia chama chake kilivyo hakina chochote cha kujivunia. Hata hivyo bora ameamua kwenda mahakamani ukweli utajulikana. Ufisadi unaolitesa taifa anaujua lkn anaamua kula kona ili kutupa...
  3. I

    UWT yakabiliana na chadema Dodoma

    Ni aibu sana kutumia vyakula na vinywaji kama kichocheo cha kuwafanya watu wahudhulie mkutano/mdahalo. Hii ni hatari na kama ccm wanaona ni bao lakisigino kwa CDM wajue wamedanganyika. Wajipange upya kwa style kuliko style hii ya bribe tricks.
  4. I

    Huyu Membe Naye!

    Home affairs zinawashinda foreign affairs ndowataweza
  5. I

    Wilson Mukama: Public and Private Profile

    Kwa sasa hakuna mwana ccm yeyote hata akiwa msafi namna gani atakayeweza kuisafisha bila kuia kabisa. Ili mbegu iote lazima kwanza ifukiwe na kisha imee. Ccm ni kama mbegu iliyokomaa sasa inahitaji kuzaliwa upya "i mean it must dissolve anyhow".
  6. I

    CCM kujivua ghamba ni nini maana yake hasa?

    Byendangwero umenena vema uliposema sera. Kubadilisha watu bila sera nzuri za nchi ni upuuzi mtu maana tutaishia yale ambayo walifanya wale wanaoitwa magamba kwa sasa.
Back
Top Bottom