Search results

  1. T

    Nimekata tamaa ya kumpata mwezi wa Maisha yangu

    Usichoke kuomba kwa Mungu man, mke mwema anatoka kwa bwana. Mungu anajua hitaji la moyo wako.
  2. T

    Al Jazeera: Meno ya tembo yalisafirishwa ndani ya ndege ya Rais wa China! nchini Tanzania

    Prof wa Kichina mpaka anaondoka mwakani nchi itakuwa imebaki uchi.
  3. T

    Siri ya Mwenge wa Uhuru

    Hii post ni ukweli mtupu, kula tano Vuta-Nikuvute. Kuna mistari kwenye biblia takatifu kwenye agano la kale (sikikumbuki vizuri) inazungumza kila kitu kuhusu Ibada za Mashetani, kwa uchache nakumbuka hivi........' Mmeweka miale ya moto kwenye milima na kuibudu, hii ni chukizo mbele za Mungu'...
  4. T

    Ndugai amsifia MWIGULU

    Mwache ampe sifa za kijinga, wana Iramba tunamsumbiri huyu m.p.u.m.b.a.v.u tuje kumtia adabu 2015.
  5. T

    Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Mleta uzi naona kama vile una interest na mtandao wa tigo, anyway pamoja na tafiti za kisayansi ulozotuelezea (japokuwa hatuna evidences) Mungu amekataza hiyo kitu............kumbuka Sodoma na Gomola kama wewe ni Mkristo.
  6. T

    Napata Kichaa-Nape kukiri kuwa CCM nao ni wawekezaji ktk sekta za Umma akidhani kuna uhalali.

    Una weza ukawa uko sahihi, haya anayofanya ni tunaita kutiwa upofu.
  7. T

    Nini unakumbuka katika maisha yako na ugumu wa maisha?Kwa watoto wawakulima tu

    Sikumbuki ilikuwa mwaka gani hasa lakini nidhani kati ya 1992 and 1994 ilikuwa Ijumaa kuu kama kesho. Si unajua wakristo tuna desturi ya kutokula Nyama siku ya ijumaa kuu, basi bwana akaja dada mmoja na sinia na Makongoro. Hii ilikuwa biashara muhimu sana huko Kiomboi Singida, nakumbuka tulikuwa...
  8. T

    Natafuta X2(nokia)_nipo Geita.!

    Napatikana DSM.
  9. T

    Msaada wa China: Haya ni baadhi tu ya masharti

    Mkuu umegusia Zimbabwe umenigusa sana. Tanzania tunahitaji viongozi kama Mugabe wenye maamuzi ambayo ni positive kwa wanachi wake ijapokuwa kwenye ulimwengu wa Manyonyaji anaonekana mbaya. Ni bora tusipewe misaada lakini rasilimali zetu tuzisimamie wenyewe kikamilifu. Kama haya masharti...
  10. T

    Natafuta X2(nokia)_nipo Geita.!

    Kwanini unataka used? kwani dukani zimeisha? anyway mimi ninayo nilinunua mwaka 2011 kama sikosei. Unaitaka kwa shilingi ngapi? panda dau naweza kukuuzia.
  11. T

    Sitaki kuamini

    Uwongo wa kumdanganya mtoto huu, by the way miezi nane ya kufukuzia demu unaona mingi? wenzio tulifukuzia miaka mitatu ndo kikaeleweka. Jifunze kuwa mkweli itakusaidia maishani.
  12. T

    Kwanini funguo za gari zipo mkononi muda wote?

    Gari kitu gani jamani mpaka ubebaji wa funguo iwe issue? wacha mtu abebe ananyojisikia ni la kwake ati.
  13. T

    Makazi ya Rais yako wapi?

    Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1 hapo kwenye nyekundu sina mbavu, na ndipo lilipo jibu sahihi.
  14. T

    Mwanaume mzima unashika shika........!

    Mkuu chukua hatua mapema zungumza nae kuhusu alivyokutibua, halafu mpate suluhisho. Kama mke na mume mnaaminiana ya nini kujidai eti simu & co ni vitu private? otherwise there is something behind not good. Mkuu pamoja na mazungumzo lakini inabidi upige mkwara wa maana lazima kidume ajulikane in...
  15. T

    AT 18 a lady is like a football, 22 men behind her,

    Wakati mwingine kusema ukweli kiasi hiki haipendezi bana.
  16. T

    Ushauri tafadhali

    Kwa bwana Yesu kila kitu kinawezekana, mshauri huyo dada akabidhi tatizo lake kwa Yesu
  17. T

    Mi nililia kwa hasira,wewe je??

    Yaani hicho ndicho kikulize? kwanini asitabasamu wakati alikuwa anakula hela ya Mhandisi.
  18. T

    Jirani kanitesa usiku kucha mweee!!!

    Mkuu ungerudi upate nyagi tatu ili ulale fofofo
Back
Top Bottom