mm nataka kukuliza wewe @nguruvv ivi wewe ungekuwa unatokea visiwani unelikubali uburuzwe haka hivi ? or kwa kuwa wewe mtanganyika ndio unaona hivyo unavyoona wewe . usiwe na akili kama za hilo jina lako sawa hebu jaribu kuwa mstarabu unaweza kuifikiria znz kabla ya kuungana hembu vuta hisia...
uko rite mkuu there is no need kukaa kuyavumilia manyanyaso kama yapo...lakini sio kweli ati nyie mnaitwa wabara and nyie hamuwaiti lolote mm nadhani wewe kwanza muongo kama sio hivyo basi wewe sio mtu wa tanganyika unajidai tu. kwasababu hapo dar kuitwa mpemba imekuwa kama chai au kwa washinda...
wewe ni nguruvi3 o nguruwe ? hahaha unahoja gani hapo mimi nataka uamini hivi ingelikuwa nyerere hajafanya crusade hapa zanzibar i swear mungelikuwa mnakuja kwa visa hapa maana hilo pori letu hata pakupumulia hamna zaidi msubiri kuliwa na simba ambao naona sasa washaanza kufika mbagala kesho...
na kwann isikuwapo sababu ya kudai tangayika yenu ? Hili koti la muungano mutajivisha mpaka lini maana kipindi cha joto kinakuja msije mkaanza kupapatua kutaka kulivua while is too late...katika kila comment yako kitu kikubwa umeonyesha kuwa na chuki na visiwa hivi vya marashi ya karafuu and...
unataka kujua nn kuhusu huyo kafiri ? Allah amemlaani amemtokomeza kama alivyomtokomeza firauni wa misri kwa kuzulumu roho za waumini wa kweli vipenzi vyake Allah ...bahati nzuri Field Marshal wa ukweli iddi amin dada was take care of this guy na ndio maana kafa kibudu(nyerere wenu akaleta...
inaelekea unaelewa haya mapinduzi kwa historia za shule but sisi tunojua huwa tunawauliza watu kama nyie yule john okelo alotoka uganda ameletwa na nani ikiwa hivyo unavyosema ni sawa then wale askari vikaptula nao ni askari wa zanzibar?
it doesn't matter who will be the loser as long as the chain are no longer in your neck ...and kwa usomi huo wa kuibiana bora niwe kilaza tu coz end of the day kumbe unachuma moto and hell is waitng for u and mwengine kama wewe lil brother kwani ndio mtindo wa bara chuna ngozi, uwa albino uwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.