Habar wapendwa.
Naomba msaada wenu, nahitaji KUDOWNLOAD movies and Series zikiwa na English subtitle ila nashindwa japo navutiwa sana na movie na series za kikorea pamoja na kimarekani.
MSAADA WENU PLZ
Wanajamvi naomba kujulishwa juu ya usajili kwa mwaka wa kwanza saut-mwanza, maana mie nimepata batch ya 3 na majina yaliwekwa net tar 5/10 wakat usajili ulianza tang tar 23/9 na hawajaweka hadhar yeyote kwa sisi wa chagua la 3 ambao weng wet ni equivalent kuwa mwisho kurpot ni lini zaid ya...
mdau itakuwa ni vipi kama nitaijaza kwa kutype (kuandika kwa kompyuta) then nikatuma?? Je nitakuwa nimekiuka utumaji wao?? Maana nilijarib kupiga cm zao ckupata majib
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.