Search results

  1. mkataapema

    Ngorongoro inaangamia, tuache Siasa kwenye ukweli

    Ni kweli kabisa kuwepo kwa wamasai na wanyama Ngorongoro ilikuwa ni kivutio hapo zamani. Lakini kwa sasa idadi ya Wamasai imezidi mno na baadhi ya tamaduni wamebadili. Njia pekee ya kulinda Ngorongoro ni kuwatoa wamasai! Tanzania ina maeneo mengi mazuri sana kuwaweka.
  2. mkataapema

    Kipande gani safarini huwa unakifurahia uwapo barabarani

    Yaani eneo hilo uwa linanipa stress nikilifikia! Kipande hicho cha ovyo sana halafu kirefu!
  3. mkataapema

    Ladies ukipata boyfriend mshabiki wa Arsenal, usimwache

    Kwa kweli sisi niwavumilivu! COYG!
  4. mkataapema

    Bukoba: Nyumba za Kiziru zashangaza wengi/ Nshomile nimewanyooshea mikono

    Akifa "bilionea " wa kichaga mtafungua thread ya kuonyesha hayo maajabu. Acha Nshomile wajisifu! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mkataapema

    Mada maalum kwa wanandoa

    Aisee! Mwaka na nusu ndoa tupilia mbali!! Ila ni ukweli mchungu! Nakuelewa!! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mkataapema

    Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

    Pole sana! lts too little too late!! Jipe muda kutafuta watoto halafu achana na wanawake!! You are too innocent!!
  7. mkataapema

    Magari yote Kaskazini ya Tanzania

    Ni ngumu kupata ticket ya basi au ndege kipindi hiki mkoa wotewote ule,sasa hizi sifa za kwamba kasikazini ndo wanarudi kwao peke yao sijui zinatoka wapi? Ni Ushamba unawasumbua!!
  8. mkataapema

    NHIF yasitisha huduma na kadi kwa watoto na ndugu tegemezi. Ingawa sanduku lao lipo kimya kimya

    Utegemezi anaosema mleta mada ilikuwa ni kwamba mashirika mengine ilikuwa ni wafaidika ni watu wanne mpaka watano wanaokutegema haijarishi uhusiano wenu ukoje,lakini kwa NHIF wanaruhusiwa mke/mme wazazi,wakwe na watoto wako wanne au wale watoto ambao umeadopt kisheria! So kama alizoea kule...
  9. mkataapema

    Tabia za wake za watu vyuoni kwakweli zinanikatisha tamaa badilikeni jamani

    Msisahau wake zenu watarajiwa mlioko nao vyuoni au wako sekondari wanatafunwa na vibabu na waume za watu mtaani! Haya mambo ni cycle tu! Usipate stress pambana na hali yako
  10. mkataapema

    Papa afikiria kuruhusu mapadri waoe

    Wakiruhusiwa kuoa itakuwa ndo mwanzo na mwisho wa nguvu ya kanisa katoliki! Imagine Padri anaondoka mwezi mzima kuuguza mtoto wake,wakati anakaribia kurudi mke naye kaumwa analazimika kubaki! Huduma za kanisa za kila siku nani atafanya?? Wahitaji kuwa mkatoliki kujua ubusy wa Padri!
  11. mkataapema

    Kibonde huwezi kuwa mjuaji kila kitu

    Yataka moyo kutumia muda wako kusikiliza watu ambao maoni yao unayajua! Unatafuta stress! Kama ni public transport tumia headphone kusikiliza mziki au kama ni private car weka flush! Hutapata kile unachotaka kusikia kupitia Kibonde!
  12. mkataapema

    Naibu Spika Tulia Ackson kuiteka Tukuyu!

    Tangazo linasema FREE ENTERANCE! Sasa sijui ni sawa na ENTRANCE au walichanganya na Kitukuyu!
  13. mkataapema

    Wanawake walioolewa huliwa na wapenzi wao wa zamani

    Haya mambo ni cycle lakini! Mwanamke aliyeolewa analiwa na Ex wake,mwanamme anayekula Ex mke wake analiwa na Ex! Ikawa asubuhi ikawa jioni siku ya 365!
  14. mkataapema

    Wanawake jamani! Eti huyu ana miaka 21?

    Huyu yuko 21 kabisa! Ni vile tu mwili umekubali!
Back
Top Bottom