Search results

  1. M

    MSAADA: Natafuta ' Glucosamine with HCL 1500mg and MSM 1500mg'

    pole sana mkuu. jaribu kwenda pharmacy kubwa kama J.D pale mlimani city au posta, Nakiete Mwenge, Manzese darajani kuna famasi moja kubwa hivi jina nimesahau, na nyingine ipo sinza kijiweni opposite delux hall. Nadhani hata kama hzo sehemu tajwa hawana, watakueleza wapi pa kuipata au hata kama...
  2. M

    Nifanye nini mke wangu ajue nampenda?

    You r very right kaka Ze boss
  3. M

    Wachina waukubali uchaguzi wa Zanzibar

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. LU Youqing hii leo amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira Mh. January Makamba Ofisini kwa Waziri huyo Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo yao Balozi wa China...
  4. M

    Ndoto za kutisha na ujauzito kuna uhusiano gani?

    Pole sana.. Omba na fanya ibada Mungu atakusaidia. shetani hutia hofu sana na woga wakati wa ujauzito. Mungu akutangulie umpakate mwanao salama
  5. M

    Nataka nunua toyota platz ni gari nzuri?

    wapendwa wanajamvi, nataka nipate kausafiri kidogo nimechoka vurugu za daladala. Kuna mtu kaniambia ataniuzia toyota PLATZ kwa sh 8mn/= Je platz ni gar nzur wapendwa na je bei ni rsonable? Pia kuna mkuu mwingne anauza suzuki swift kwa 9.5 million, je hyo bei pia ni resonable? nisaidieni...
  6. M

    Msaada: Natafuta annointing water ya T.B Joshua

    Habari zenu wapendwa katika bwana. Jamani nina shda sana na anointing water kutoka SCOAN, kama yuko mtu ashawahi kwenda kwa T.B Joshua akapewa naomba anisaidie japo few drops I'll mix it with other water. Ninayo mambo mengi magumu ambayo nayapitia katka dunia hii, naaamini nikipata hayo maji...
  7. M

    Kweli Tanzania Daima ni Mdomo wa mafisadi

    Wildcard acha kutoa maneno machafu mdomoni mwako? Prophet T.B Joshua he is a real man of God, na me namuheshimu sna na hata nchini kwao wanamheshimu sana. Mwambie Mungu wako akusamehe kwa sababu usloljua ltakusumbua! Syo tapeli wala Muongo kama ulvyosema. Roho wa bwana akubariki.
  8. M

    Msaada! napata period for two days ni kawaida

    Jamani, Kuanzia January mpka leo napata period for two days. Na ni kidogo sio kama ilvyokuwa mwanzo. Je, ni kawaida? Mwanzoni nilikuwa napata for four days au siku nyingine siku tatu. I am scared, sjui ni hali ya kawaida au vipi. Wanawake wa JF na JF doctors please nisaidieni. Na hii...
  9. M

    Tell me your favourite perfume

    Jamani mi napenda sna perfume, tena sana. I have many diffrnt prfumes in my wardrobe. My favourite ar : 212 sex by Caro Herera : Midnite fantansy by Britney Spear : Glow after dark by J.lo : Dior addict by Christian Dior Na wewe nambie watumia nini, na ni lipi duka wauzalo perfume za...
  10. M

    Ofisa Mipango Chamwino ajiua.... baada ya kumshika mke na lijamaa

    Na ninaskia kuna wamama watu wazma walimfuata Vicky hospitali,wakamsihi sna akamuaqge mumewe kule motuary. But bidada akakataa kabsa kasema haend. S unajua kma mtu wako wa karibu aidha nmume au mke kafark na we pia waumwa lazma ukaage jamani. Haijlishi watembelea machela au lah. Vicky ahuska...
  11. M

    Muhali gani wapendwa

    Deleted
  12. M

    so scared

    We bikira unayo? Au umbeya tu. Muache mwnzio, shndwa ulegee
  13. M

    Wilson Mukama awa katibu Mkuu mpya CCM na CC Mpya

    January Makamba, kachukua nafasi ya Membe. Ndo naskia hapa TBC taifa
Back
Top Bottom