Search results

  1. L

    Iphone 4s inanikosesha raha.

    jijakupata ndugu nifafanulie bac
  2. L

    Iphone 4s inanikosesha raha.

    jaman nashindwa kuunganisha net nimeenda had ofisi za makampun ya cm hapa MORO tatizo limeshindikana,nilijalibu kuhamisha vtu toka kwenye pc vinaingia kama file mfano miziki,inaonesha free space ktk phone memory ni 64gb lkn ukichomeka kwa pc inaonesha 4gb.nni uvumbuz wa hayo yote?
  3. L

    Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

    msaada nina iphone 4s,nashindwa kuiunganisha na internet,pili hata ukichukua vitu kwenye pc vinakuja kama file je tatizo hlo nini jibu lake!
  4. L

    Hivi kweli soka ni mchezo maarufu tanzania?

    Kwa mtizamo ambao sio timamu sana wabongo wengi tunafikiri soka ni mchezo maarufu sana,upande wa serikali ndio kabisa hakuna mipango endelevu kabisaa chukua mfano,tunawanunua makocha kwa pesa ya kutupwa kufundi mpira watu wenye miaka zaid ya 25 wakati kwa wale wanaojua soka la kimataifa mchezaji...
  5. L

    Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

    Ni ujinga kwa mtu mwenye mzima mwenye nguvu na mamulaka kikatiba kuongea vitu ambavyo hana ushaid navyo"DONT DARE TO TALK IF AT ALL U HAVE GOT NO EVIDENCE",Nadhan hata mfa maji huwa anatapatapa,Kaheri nch ni CHDM 2015.
  6. L

    Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

    Bora kaenda,TANZANIA tulio itaka itakuja tuu sasa.
  7. L

    Mtoto akisha kua atatanganzwa RC

    Hv sijui tunaelekea wapi Tanzania,DSM haina RC kwa muda sasa hii sio kusema wenye sifa hawapo bali propaganda zinaendelea,Kuna kitu nyuma ya pazia kina eleza kuwa kuna yule aliyekosa jimbo Arusha mjin ndiye mlegwa,akimaliza kulea basi jiji litapata RC.
  8. L

    Migodi ya dhahabu ya ushirombo shinyanga kumirikiwa na ridhiwani au kikwete kuna dhambi gani?

    Du kweli binadamu wote ni vichaa ila ukichaa wetu unatofautiana.Upo juu kwa mawazo mgando.
  9. L

    Salam za Pasaka kwa mtindo wa kujivua Gamba

    Watu wanasema leo ni cku ya kuongeza maovu eti ili yesu aje tena kutuokoa.
  10. L

    Chuo kikuu kipya cha kilimo Katavi, ni haraka mno

    Si unajua tena mwamba ngoma kamba kwake,KATAVI juzi mkoa leo University Agriculture
  11. L

    Huyu Membe Naye!

    Mh Membe naye anaanza kutafuta mass influence,cjui naye ndio yupo kwenye harakati za kujivua gamba?.Ishu ya Libya yenyewe kama waziri wa Inje ya boundery amekumbushwa na wabunge.leo hii anaosha nyota UDOM.Kuna umuhimu wa kuwa mgumu kuamini.
Back
Top Bottom