Search results

  1. Mpiga Nyoka

    Morogoro: Wafanyakazi tisa wa LTSP[Wizara ya ardhi], wafariki kwenye ajali Kilombero

    Wapumzike kwa amani Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mpiga Nyoka

    Kwaanini baadhi ya Wanaume wanapenda makalio?

    Wanaume wote tunapenda makalio sio baadhi. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mpiga Nyoka

    Waziri wa Fedha: Nchi inapita kwenye kipindi kigumu, wafadhili wamepunguza misaada

    Tupo kwenye raiti traki.. Huyu waziri sio mzalendo kabisa.
  4. Mpiga Nyoka

    Sekta ya maakuli Gardner G usiulize jibu tulia tulii......!!!

    Mbona kama chakula cha mtoto mdogo tena wa kike!!!
  5. Mpiga Nyoka

    Je, Serikali imebadili Magari ya Wakuu wa Mikoa?

    Vita ya madawa ya kulevya haijawahi kumuacha mtu salama.
  6. Mpiga Nyoka

    Nahitaji Msaada. Mchumba wangu kaniathiri mpaka kwenye Tendo la ndoa. Hali yangu ni mbaya

    Subiri hao rafiki zako wakianza kupasha kiporo ndio akili yako itakukaa sawa.
  7. Mpiga Nyoka

    Wanaume wa DAR hii sasa too much

    Wanavutia kwa kweli
  8. Mpiga Nyoka

    Ooooh mwanamke chura..chura my foot

    Flat inayoruhusiwa ndani ya nyumba ni LG tu..
  9. Mpiga Nyoka

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Kwa kujifunza tumia lot size ndogo i.e 0.01 halafu stop loss weka PIPs 20 mpaka 30. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Mpiga Nyoka

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu nimejaribu kureview hiyo pair toka jamaa ameopen position mpk sasa hivi highest price ni 1.3037. Sent using Jamii Forums mobile app Sema kweli siku nyingine asitumie SL ndogo hivyo.
  11. Mpiga Nyoka

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Sawa kabisa naona highest price kati ya 13:00 mpk 13:30 ilikuwa 1.3036 haikufika 38 na hata 13:30 mpk saa 8 highest ilikuwa 1.3037 sasa sijajua nini kilitokea mpk position yako ikawa closed. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Mpiga Nyoka

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu naona uliweka stop loss PIPs 7 kama sikosei 1.30311 +7 unapata 1.3038. Hizo ni chache sana so ilivyopanda kidogo ikaclose. Hapo kwenye maelezo umechanganya umesema SL ilikuwa 1.3083 wakati ni 1.3038. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mpiga Nyoka

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Cha kuongeza hapo ni kuset Stop Loss just few PIPs above and below just incase things went south. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mpiga Nyoka

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Ninavyoelewa hapo ni kwamba kuingia kwenye market wakati trend ipo kwenye Support ni risk kwa sababu sometime market does not respect the support ambapo wewe ukienda bottom fishing unaweza kwama kwenye tope. Ila pia ikijibu inakuwa na reward nzuri kwasababu utakuwa umekusanya PIPs za kutosha...
  15. Mpiga Nyoka

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Nenda playstore pakua app inaitwa Myfxbook Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Mpiga Nyoka

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Hujakosea kabisa chief yani naogopa uji wa moto mpk hapo ntakapojua kuunywa. Nadhani wewe ndio yule mhenga alosema TRADING FOR PIPs IS SEXY [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
  17. Mpiga Nyoka

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu wahenga wanasema TRADE FOR PIPs MONEY WILL COME. Hiyo kitu ndio nakomaa kujua jinsi ya kufanya setups.. Unless nimeweza hiyo hii biashara sitaiweza. Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
  18. Mpiga Nyoka

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Hongera kwa kujaribu mkuu.. Kwenye suala la spread uko sahihi kabisa broker analamba kwanza chake ndio unaanza kupata profit yako.
Back
Top Bottom