Search results

  1. J

    Majaliwa ya Tanzania chini ya Rais Mizengo Pinda

    Leta madhaifu ya mgombea wako sasa. Au yeye Hana udhaifu...dirty politics
  2. J

    Swahiba wa Mizengo Pinda ashinda Urais Namibia, walishiriki wote jopo la kuandika katiba ya Namibia

    Huyu ndie anayesubiriwa na watz , Hana tuhuma hata moja ya ufisadi , pinda ni mkali na Mtu wa misimo ya kujenga uchumi wa wanyonge na fursa za uwekezaji. Wasio waadilifu ndio wanamchafua kiukweli hawataweza.
  3. J

    Pinda akubali kujiuzulu jioni hii

    Kama Mtu Msafi asiye na ufisadi Kama pinda anajiudhuru basi . Hakuna atakayesimama , pinda usijiudhuru utaachia mafisadi watumalize...
  4. J

    Waliomuua Dr.Mgimwa hawa hapa

    Ndio maana walimuua Mzee wa watu. Tunaomba orodha Yao nzima hapa .
  5. J

    Lowassa ndiye Waziri Mkuu wa Kwanza Mwenye Power ya kweli katika Historia ya Tanzania - William Malecela

    Sokoine mzee wa misimamo, huyu sawa lakini mafisadi wengine tupa kule
  6. J

    Lowassa ndiye Waziri Mkuu wa Kwanza Mwenye Power ya kweli katika Historia ya Tanzania - William Malecela

    Ndie waziri mkuu aliyefukuzwa kwa ufisadi katika historia ya tanzania pia. Kwa hiyo sio uchapakazi tuu bali pia alikuwa mwizi wa fedha za umma. Nchi hii bwana ukiiba halafu uwe na fedha nyingi eti unaheahimika, mpaka tutakapoelewa kuwa fedha zinazotolewa makanisani,misikitini,na michango ya...
  7. J

    Kuna anayemfahamu Mh Lazaro Nyalandu?

    Hujishughulisha na ujangili wa ndovu, kupitia kampuni yake ya utalii ambao ilikuwa hailipi kodi hifadhini. Mfanyabiashara mkubwa wa mengine lakini for nyara za seriklali.
  8. J

    Majangili waua tena faru Serengeti, jana usiku!

    Huyu naibu waziri wa maliasili anahusika na ujangili toka siku nyingi inakuwaje tena leo ni mtetezi wa tembo? Haiwezekani akawa jangili wa tembi baadaye akageuka kuwa mzuiaji wa kuua tembo na faru, alikuwa na kampuni ya uwindaji na utalii ambao ilikuwa inanunua meno ya tembo kwa kificho. Bahati...
  9. J

    Walimu waliotoa maoni kikao cha NAIBU WAZIRI Aggrey Mwanri wasimamishwa Kazi na Mkurugenzi.

    Dc wa meatu kirigini, fuatilia tuhuma hizo haraka sana tena sana.
  10. J

    Baraza la Mawaziri: Nani atoke, Nani abaki, Nani aingie?

    Kuna wizara moja tu ambao nashauri ,kama aliyekuwepo amefukuzwa basi naibu wake aliyepo hafai kuwa waziri maana alishatajwa kujihusisha na ujangili wa meno ya tembo, ninamwona ktk vyombo vya habari siku hizi akijipambanua kama mpambanaji na ujangili ,ukweli ni kuwa naibu waziri huyu anasemekna...
  11. J

    Lowassa ageuzwa mradi

    Napita nitarudi baadae
  12. J

    Lowassa awapasha akina Nape na Mangula...

    Kwa jinsi watz walielimika sasa wataamua kwa wakati na maamuzi sahihi. Tuwaachie wao, so long mgombea binafsi yupo, vyama vingi vipo, watachagua anayewafaa.
  13. J

    TRA's Kitilya to retire from public service, Blandina Nyoni or Dr. Dau to take over...

    Kiukweli dr. Dau hataweza, kwa sababu udini anaotufanyia pale nssf ni balaa kubwa sana. Nashauri watafutwe wengine walio wasafi ambao hawana udini, ufisadi, au upendeleo. Kama unatafuta kazi pale nssf au kupandishwa cheo pale nssf mpaka dr. Dau afahamu kama ni nani wewe, pia wengine mpaka...
  14. J

    Lowassa: Tulifurahi, Tulihuzunika na Tutashinda Pamoja

    Je ni wangapi waliohuzunika? Mafisadi? Sisi walalahoi tulifurahia, kwa hiyo maana yake ni kwamba waliohuzunika yaani marafiki wanaokaa mikocheni na osterbay ndio watakaokufanya afurahi mh..? Sina uhakika kama ni kweli basi watz wataamua yaani wawaache waadilifu waaanze kuhangaika na walionacho...
  15. J

    Ali Hassan Mwinyi kutunukiwa Honorary D. Lett, William Lukuvi MA kesho

    Likuvi. Wizi mtupu, MA ? Darasa la sana apate masters....? Haya
  16. J

    Sekondari ya William Lukuvi wanafunzi walala darasani

    Nasikia ameongoza kwa miaka ishirini mfulilizo, sasa unategemea nini, sasa hivi anaongoza kwa mazoea na sio kama kwa kufuata wapiga kura wanachotaka, kwa hiyo wananchi wenyewe wajilaumu kwa kulichagua jitu hilohilo miaka nenda rudi. Wasahihishe makosa mwaka 2015
Back
Top Bottom