Search results

  1. K

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe...

    Wakuu, inasemekana Zitto Kabwe ali-post facebook hii kitu halafu aka-edit later. Original post: Revised Post: Kutoka Gazeti la Raia Tanzania
  2. K

    Hivi Huyu Jamaa ni Nani?

    Fredrick Mwakalebela
  3. K

    Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    Naona kama Kitila anatumika vile na Zitto kwa kusema kuwa Zitto alikuwa hajui kuhusu huo waraka.
  4. K

    My Apologies To Mh. Kapuya Na Wengine Wote We Should Follow The Apology Avenue: We Were Wrong!!

    Le Mutuz bwana, hujajipanga kabisa yaani, kwa hiyo kama kuna waliombaka kabla then its okay kwa Kapuya kumbaka???
  5. K

    Upande wa pili wa sakata la alhaji professor Athman Kapuya

    Sasa hapa upande wa pili upo wapi? Naona bado unaelezea upande ule ule, I thought umekuja na story ya upande wa Kapuya...!!!
  6. K

    Wasifu (CV) wa January Makamba

    Hebu wekeni hii sawa: (a) alipata zero form four (b) aliiba mtihani akapata zero form four (ikiwa hivi itakuwa noma kichizi) (c) alifaulu form four lakini aliiba mtihani The same can be asked for form six results.
  7. K

    Tanzania's Nando has been Disqualified from the Big Brother House

    Dogo kaondolewa Big Brother House kwa kuanzisha ugomvi na Mshiriki mwingine (Elikem). Nando made threats against Elikem's life, saying ''I feel like stabbing him. A nigga like that deserves to die'' My take: He had it coming.. karibu home (or would it be safari njema to US?)
  8. K

    Reginald Mengi on Nape: Muache Mungu afanye Kazi Yake

    Mzee Reginald Mengi ame tweet mawazo yake juu ya Kauli ya Nape Nnauye ambae inadaiwa kasema waliopendekeza Serikali tatu ni wazee wanaosubiri kufa. --------------------------- Habari Kamili --------------------------- NAPE: Waliopendekeza Serikali tatu ni Wazee wanaosubiri kufa MZIMU wa...
  9. K

    Kama Tendwa mungu Aifute CHADEMA tuone basi...

    Kwa hiyo Mzee Mwanakijiji ndiyo Lula wa Ndali Mwananzela.....AU?????
  10. K

    CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind?

    Font ya barua iliyowekwa mtandaoni na font ya maelezo ya Zitto kama ni moja vile? What if barua ime-leak from Zitto's computer?
  11. K

    Mbunge yule Kijana aliyeniomba Ushauri...!

    Cut to the chase Maggid, u r afraid of changes, aren't u?
  12. K

    Gesi Yetu Na Alichoniambia Profesa Chachage Jana Usiku...

    Being sarcastic????????!!!!!!!!!!!!!
  13. K

    Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    Breaking newz: Nyepesi kasafiri kwenda Ujerumani, hajawaaga PM7, again. So akirudi atazikana hizo sms za Saa8. Na katika thread yake ya kukana ata-attach ule wimbo wa Shaggy ''It wasn't me''.
  14. K

    Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    Mbona badala ya kumjibu Saa8 na Exaud umetumia muda mwingi kumshambulia Dr. Slaa? Wewe ni makamu mwenyekiti for God's sake, kwa nini usipeleke haya mambo kichama unakuja kumwaga hadharani? Yaani ni kama kichaa kachukua nguo zako halafu na wewe unamkimbiza....UCHI. Shame on u Juliana...
  15. K

    Kigwangalla na Hoja ya Kutafuta Umaarufu wa Kisiasa Kupitia Kupanda Bajaj ama Bodaboda!

    Its funny unahalalisha kupanda bodaboda eti kwa vile umekulia uswahilini na hapo hapo unakubali kuwa si salama, halafu bado huvai helmet, and yet unapiga picha,halafu unakiri kabisa picha imepigwa makusudi na wewe ndo umeiweka facebook. Nyie viongozi balaa. I think ile nukuu ya Invisible ''Ficha...
  16. K

    Jaji Mkuu aeleza sababu za 'kujitoa' kesi ya Lema

    Jaji Mkuu: Siku ya kesi ya Lema nitakuwa nje ya nchi, sijajitoa JAJI Mkuu, Mohamed Chande Othman ameeleza sababu za kutokuwa kwenye jopo la majaji waliopangwa kusikiliza kesi ya aliyekuwa mbunge wa Chadema mkoani Arusha, Godbless Lema. Jaji mkuu, alitoa maelezo haya jana alipozungumza na...
Back
Top Bottom