Search results

  1. B

    Askofu Rweyongeza: Mfumo wa Elimu ukivurugwa na Mbumbumbu kupewa madaraka, Amani ya Taifa itatoweka

    Hiyo nukuu ya 9 eti mtu kama kafeli somo la dini asiajiriwe!!!!. Kuna watu wenye PhD za theologia lakini wamedhalilisha watoto kingono. Uadilifu ni zaidi ya kusoma na kufaulu somo la dini!!!
  2. B

    IMF: Uchumi wa Tanzania hautabiriki, mfumo wa ukusanyaji takwimu haueleweki

    I doubt the authenticity of this report. Quality ya lugha iliyotumika sio ya kiwango cha shirika kubwa kama IMF.
  3. B

    Kwa watumishi wote wa Umma Tanzania....

    Fake news. Angalia bullet mbili za mwisho maneno ya kwanza. Yamekosewa. Taarifa ya Serikali haiwezi kukosewa kiasi hicho.
  4. B

    Tanzania would rather be in Southern Africa, it seems

    Wakenya tatizo lenu kubwa ni ubinafsi uliokithiri. Kuhusu kukataa kuwauzia mahindi miaka miwili iliyopita, nakumbuka tulikuwa na uhaba wa mbegu za mahindi kabla ya msimu huo. Kenya ikazuia kuuza mbegu za mahindi Tanzania. Kwa bahati mbaya au nzuri??? Kenya ilikumbwa na ukame mkubwa hivyo taifa...
  5. B

    Kitine: Kuna waziri ameiba fedha za nchi huko nje ametia mfukoni mwake kutafutia urais

    Kitine hana uhalali wa kumshutumu mwingine kwani yeye alikuwa na kasfa ya wizi wa millioni arobaini alidanganya matibabu ya mke wake. Baada ya kashfa yake hiyo kuibuliwa na gazeti la rai wakati huo likimilikiwa na akina Jenerali Ulimwengu, akatumia influence yake kwenye usalama wa taifa kumvua...
  6. B

    Mawaziri wa JK: Ngeleja na apartment ya $350,000

    Kama mkataba unavyosema anamiliki C5 floor ya pili na sio mdude wote
  7. B

    Wilaya za Mwanga na Same zimekamilika?

    Wapare wana msimamo na sio flip floppers kama wachaga. Enzi za RUWA wa wachaga, Mrema na NCCR wote walichagua wabunge wa NCCR kwa kuamini kuwa huyu Mangi angekuwa rais na mambo yao kuwanyookea. Lakini ilivyokula kwa Mangi wakaanza kurudisha majimbo CCM moja baada ya jingine, mpaka likabaki moja...
  8. B

    JK aongoza mazishi ya Mkuu wa Majeshi mstaafu Mwita Kiaro

    Inawezekana hata kuwa JK alitoa 10 mil ni fix
  9. B

    JK aongoza mazishi ya Mkuu wa Majeshi mstaafu Mwita Kiaro

    This is a forum of ill wishers not even normal thinkers
  10. B

    Exclusive: Ripoti ya Uchunguzi wa Vifo Tarime - Marehemu walipigwa mgongoni wakikimbia

    Hiyo ndio hatima inayotakiwa iwakumbe wachochezi wote wa vurugu. Bravo hakimu
  11. B

    Picha ya Nape na CCJ ni ya Photoshop

    Inaonyesha kabisa kuwa piche imetengenezwa na kuchezewa kwa kutumia computer, it is obvious
  12. B

    Hivi ni kweli Mbowe na Ndesamburo wanaidai pesa Chadema

    CDM political doctrine: There is only one political GOD in Tanzania, that is WILBROAD and that FREEMAN is his prophet.
  13. B

    Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

    Kwani wachagga ni nani na wana nini nnji ii?
  14. B

    JK ni kweli kazaa na mtoto wa ROSTAM?

    Huna jambo la maana la ku post? Kama huna la kusema ni afadhali ukae kimya kuliko kutuandikia pumba humu
  15. B

    Zanzibar Kupongeza wachomaji, Wasaidiwe washinde kesi, Mashujaa wa Muhanga!

    Tuacheni ushabiki na ukereketwa usio kuwa na maana. Hao waliochoma moto maduka ni watu waliojichukulia sheria mkononi na sheria inatakiwa ichukue mkondo wake. Mwanzilishi wa hii thread anajichanganya, mara wapemba, mara Mwinyi na waislamu na mara Kikwete na waislamu. Hii inaonyesha tu kuwa ana...
  16. B

    US Naval Bases In Africa (AFRICOM): Sababu, Pingamizi, Faida na Hasara

    Kwangu mimi huo ni uvivu wa kufikiri, kuwa hatuwezi kujipatia maendeleo bila wamarekani. Mara nyingi humu tumekuwa tukiikosoa serikali kuwa bajeti yake ni tegemezi, sasa tunataka hata tuwe tegemezi ki ulinzi kwa 100%. Halafu sio kweli kuwa watausaidia kiuchumi, nchi kama kenye in base za...
  17. B

    CHADEMA Walitumia bilioni 1.3 Uchaguzi wa rais 2010

    CHADEMA is a limited COMPANY OWENED BY ............
  18. B

    Mukama ameikejeli Katiba!

    Asante kwa analysis yako, lakini kuna mambo mawili kwenye tafakuri yako ambayo inabidi tuyaweke sawa. Kwanza chanzo cha ugomvi wa Nyerere na mzee Mtei sio kuwa Nyerere alitaka shilingi ishuke thamani na Mtei kukataa. Bali Mtei alitaka Nyerere aridhie masharti ya IMF na Nyerere hakukubaliana...
  19. B

    Chadema wako aware

    Sidhani kama wapo makini. Mbona wamewachukua some senior government Intelligence officers kuwa members wa kamati kuu?
Back
Top Bottom