Search results

  1. M

    Hivi CCM nyinyi tu ndio mnajua kutawala?

    Hii sasa ni dharau ya waziwazi ya wanaoitwa watawala wetu. Hii precedence wanayoweka ccm ya kudharau kila mtu na kujiona miungu itatuletea Shida baadae. Hivi watu wafanyeje sasa? mbona in manyanyaso kila upande?
  2. M

    Nashauri iitwe Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii

    Wizara zilizoundwa na Rais wa awamu ya tano baadhi yake kwangu Mimi zinatamkika vibaya na hazina utamkaji wa kisayansi. ( They are not scientifically arranged). Kwa mfano wizara kama ya afya, usitawi wa jamii, jinsia, wazee na watoto ingeitwa tu wizara ya Afya na usitawi wa jamii. Jinsia...
  3. M

    Ni kweli hakuna maana ya sikukuu ya uhuru.

    mh, Rais atakuwa hajafuta hasa sikukuu ya Uhuru. Alichofanya ni kuja na style mpya ya kuadhimisha walau kwa mwaka huu. kaongea juu ya watu kufanya usafi Siku hiyo. sijui mwakani atarudisha utaratibu wa kawaida au la! .Hill namwachia mwenyewe. Binafsi kinachoudhi hasa ni Siku hiyo kuisha kwa...
  4. M

    Chopa ya Livingstone Lusinde yapata hitilafu, yashindwa kuruka

    inasikitisha sana. The passing on of Filikunjombe is completely unbelievable! Tumepotelewa na mzalendo no matter itikadi yake!
  5. M

    Mh. Mizengo Pinda Apinga Mawaziri kutokuwa Wabunge

    kina pinda wameshalewa. Ni ulevi tu, na hasa ulevi wa madaraka.
  6. M

    Warioba: Mimi na Salim urais basi

    warioba hajawahi shindwa kesi ya ubunge mahakamani. yeye ndo alimshinda wassira ambaye alikuwa ameshinda uchaguzi wa bunda mwaka 1995 akiwa chama cha nccr mageuzi. mahakama ilimkuta wassira ana hatia ya kutoa rushwa ktk uchaguzi huo na uchaguzi ukatengeuliwa na wassira akazuiwa kugombea ubunge...
  7. M

    Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    kwani hao wanaotaka serikali tatu siyo watanzania? wewe una nini cha ziada kujiona mtanzania zaidi ya wengine? eleza tu mawazo yako kama mtu binafsi na usijifanye mtanzania kuliko wengine.
  8. M

    Ushauri wa bure kwa Nape Nnauye

    Ahsante sana Nape, you look gentleman. kama nilivyosema hapo nyuma sina wasi wasi na kipawa chako na uwezo wa kuongoza. Ahsante kwa kuelewa nia ya ushauri wangu na kuupokea positively. Thanks na kazi njema.
  9. M

    Ni aibu mbunge kutojua lugha ya kingereza

    kama kuongea kiingereza hakusaidii kitu, kutoongea ndo hakusaidii kabisaaaa.
  10. M

    Ni aibu mbunge kutojua lugha ya kingereza

    matatizo yetu ni kujadili mambo kiushabiki na kukariri majibu labda tuliyowahi kusikia huko nyuma. kwa mbunge kutojua kiingereza kweli ni aibu kubwa sana. tusijifariji hata kwenye mambo yanayotaka umakini. lugha ya kujifunzia katika nchi hii ni kiingereza namaanisha kuanzia level ya secondari...
  11. M

    Ushauri wa bure kwa Nape Nnauye

    Ahsante mr, Ngwanga kwa pongezi na kutambua mchango wa wengine. nadhani kwa kuwa wote hapa jf, tutaendelea kushauriana na kuelimishana maana wewe na mimi wote tuna namna ya kusaidiana na hasa kusaidia nchi yetu.
  12. M

    Ushauri wa bure kwa Nape Nnauye

    Ahsante mr, Ngwanga kwa pongezi na kutambua mchango wa wengine. nadhani kwa kuwa wote hapa jf, tutaendelea kushauriana na kuelimishana maana wewe na mimi wote tuna namna ya kusaidiana na hasa kusaidia nchi yetu.
  13. M

    Ushauri wa bure kwa Nape Nnauye

    Nimeona nitumie nafasi hii kumshauri kidogo mdogo wangu Nape. Nasema mdogo wangu si kwa maana ya madaraka bali umri kati yangu na yeye. ukimfanyia analysis Nape, kweli unaweza kugundua kwamba ni mwanasiasa mwenye kipawa(charisma) cha kufanya siasa. Na kweli kwa maana ya uenezi, ccm walikuwa...
  14. M

    Rage Kawageuza Simba Misukule Yake

    Anasema kweli ni mambumbumbu. Ana reference nyingi. Na hasa kama mwanasiasa anajua hakika wadanganyika ni mbumbumbu pia. unakuwa madarakani miaka mingi bila kuwapa maji kwa mfano, lakini watakuchagua tena kwa ahadi ileile ya kuwaletea maji yaleyale walokuwa hawana. Nchi hii kweli imejaa...
  15. M

    Warioba amewasilisha rasimu ya katiba au rasimu ya serikali tatu?

    kwa nini mnamsakazia waryoba kutetea serikali moja, wakati ninyi ccm mnaogopa wazanzibar kuwaambia juu ya kuvunja serikali yao na kuwa na serikali moja?
  16. M

    Mhe. Mbowe amjulia hali Rose Kamili Hospitalini, Iringa

    Ni wajinga tu wanaoweza kufikiri kama Ifweero ndo watakubali mawazo yako yake. hivi unaona fahari gani kwa mama mzima kama yule kuteswa na vijana tu na kupigwa muda wote ule? hivi wewe una mama kweli? hivi hayo unayoyasema ndo utawala wa sheria? au unataka tuamini kwamba nchi hii sasa...
  17. M

    Watanganyika wanajipendekeza kwa Wazanzibar?

    ha ha ha ha, Turufuu. watu wa kale ni watu wasiosema ukweli wao. sijui wewe ni wa kundi gani maana vina vyako vinatisha!
  18. M

    Watanganyika wanajipendekeza kwa Wazanzibar?

    Ndugu wana jf, moja ya mambo yanayonishangaza ni hali ya watanganyika ya kuwagwaya sana wazanzibar hata wanapofanya mambo ndivyo sivyo. kwa wafuatiliaji wazuri wa mambo wanajua hakika hoja ya kudai tanganyika inatokana kabisa na msimamo wa sasa wa katiba ya zanzibar inayovunja katiba kuu ya...
  19. M

    Kificho ndiye Speaker wangu.

    sasa nimeamini juu ya usemi unaosema usimdharau usiyemjua. mimi na kificho wote ni watanzania lakini nikiri kwamba sikumfahamu uwezo wake wa kuongoza kwa sababu yeye ni speaker wa baraza la wawakilishi zanzibar ambalo kimsingi ni ngumu kupata vikao vya baraza la wawakilishi kwa sababu ya miundo...
  20. M

    Uchaguzi: Hii ndio Dira ya Mh. Samuel J. Sitta Kama mwenyekiti Bunge la Katiba

    He is always patriotic though wavering when things get tough. Let him grasp this truth that,"when things get tough, the tough gets going. Be tough at least this time sitta.Bless you so very much and all the best.
Back
Top Bottom