Search results

  1. DullyJr

    FT: Singida FGT 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | CCM Kirumba | 14.4.2024

    Hamna mechi hapa ni comedy za pwagu na pwaguzi
  2. DullyJr

    Beno Kakolanya atoroka kambini kuelekea Mechi na Yanga SC

    TFF,YANGA,MWIGULU,IHEFU wanajitekenya wanachekaaaa
  3. DullyJr

    Beno Kakolanya atoroka kambini kuelekea Mechi na Yanga SC

    Mtu uambiwe uachie goli 6 khaaaa we kuweza?jamaa katoka mita
  4. DullyJr

    Kikokotoo cha pension/mafao

    Jichanganye[emoji23][emoji23][emoji23]
  5. DullyJr

    Wanyama 9 wanaoweza kuishi bila Chakula wala maji kwa muda mrefu

    Kumbe buibui ,chura na nge ni wanyama?basi mwalimu wangu alinipeleka chaka
  6. DullyJr

    Wachina rudini nchini muichukue TAZARA yenu

    Wengine wanasoma kule jamani duh,ila nimecheka
  7. DullyJr

    Wachina rudini nchini muichukue TAZARA yenu

    Inawezekana wanatumia fursa kusafirisha watu kimipango kwa nauli ambazo si halali
  8. DullyJr

    Wachina rudini nchini muichukue TAZARA yenu

    Mimi mwenyewe nilikuwa namsafirisha mdogo wangu kwenda shuleni nimeambiwa usafiri hamna[emoji23] Wakati jana saa 3 nimeambiwa limebeba abiria limeenda mlimba. Na wanaringa wanajua hata mabasi hayafiki mlimba kwa sasa,nimeamua kumrudisha dogo ale sikukuu kwanza.Hawa tazara pumbavu zao Nchi ngumu sana
  9. DullyJr

    Hivi hakuna namna Yanga wanaweza kukata rufaa FIFA?

    Huku gsm anavyonunua mechi hamuoni?karma hiyo
  10. DullyJr

    Hivi hakuna namna Yanga wanaweza kukata rufaa FIFA?

    Waanze kukata rufaa mechi ya ihefu waliyozawadiwa goli ambalo halijavuka mstari, Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga
  11. DullyJr

    Wachina rudini nchini muichukue TAZARA yenu

    Tazara ni kichefuchefu sio upande huo wa Tanzania wala huku zambia ni shida kwanza hilo treni likivuka tu border kuingia upande huu hayo mabehewa wanapakia nguruwe[emoji23] Wanakera sana hao wanaokatisha ticket wanajikuta kina nani sijui, Afande Sele alisema Afrika ni miyeyusho ila mfanyakazi...
  12. DullyJr

    Nawachukia na Kuwatania sana JF, ila ukweli ni kwamba Wamenyimwa Goli halali lililovuka mstari wa Goli

    We poyoyo bichwa lisilo na akili LILE SIO GOLI KENGE WEWE
  13. DullyJr

    Nimegundua idadi kubwa ya Watanzania au Africa tumetumia camera moja kuangalia shuti la Ki Aziz

    SIO GOLI LILE, TIMU YA SERIKALI IACHE KULIALIA
  14. DullyJr

    Msigwa: Ufafanuzi wa suala la Simba

    Hovyo sana, masika haya watu wanakufa njaa huko vijijini maafa makubwa ya mafuriko...watu hawana matumaini wao wanawapa pesa utopolo kwenda kulitia aibu taifa.... Shame upon you
  15. DullyJr

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Nyie hata mshinde game zenu zote zilizobaki hamuwezi kutufikia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi yule Tahit Chong hamjamuona? Maana nae anazo rasta,atawafaa sana
  16. DullyJr

    Football records that are yet to be broken

    On February 24, 2004, the Bournemouth forward James Hayter came on as a late substitute in a Division Two (now League One) match against Wrexham at Dean Court—and promptly scored three goals inside 140 seconds.
Back
Top Bottom