Mimi naku support 100% hakuna kitu kinaudhi kama mkeo akwambie eti ex wake kamtafuta....mumeo wa huyo dada ni mstaarabu sana, sasa Dada apambane na hali yake kulinda ndoa yake asitafute sababu za kumsingizia mumewe eti kwanini kakaa kimya, ulitaka akupigi vibao??
Una uliza ufanyeje usha shindwa...
Babu ungekuwa umechanga ulitakiwa kuhoji hivyo ulivyo uliza sasa huja changa povu lina kutoka vipi unge kuwa umechanga si ungekwenda Police kushtaki kabisa?
Acheni ujinga basi sometimes, kwanza unajidhalilisha kuuliza vipi visivyo kuhusu....kama una beef na Mbowe mchafue, Mbowe sio kumuungiza...
Yaani sisi wanaume kama tunakutongoza hutaki ila kila niki kutumia text unajibu najua ipo siku utaachia tu....
Kuna kamsemo aliniambia friend of mine ..nati ya train hata iwe gumu kiasi gani kama utakuwa unaigonga gonga na kijiko kila siku ipo siku itaregea tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka kutukana Ila matusi uliyo pewa yanatosha
Turudi kwenye ushauri sasa...
Kwanza nadhani unajua nini maana ya "karma"
Kwakuwa ume mpotezea kaka wa watu 3 years without true love ni bora umwache naye aje kupata mtu anaye mpenda kuliko kuendelea kupoteza muda na wewe!
Pili kama ume weza ku...
Yaani kama huyo jackie ana amua kumuacha amuache ila sio kwasababu kaka yake huyo dogo ana mtaka, mtu ana mke tena na mtoto lakini bado ana endekeza ngono nje ya ndoa!!
Huyo anatakiwa kufundishwa kuwa ukioa unatakiwa kuacha michezo ya tamaa tamaa.....
Yeye apambane tu kama watakuja kuachana...
Hiyo John ni mpuuzi sasa huwezi lea upuuzi kwa kumwacha tu aendele na upuuzi wake, kwanza haeshimu ndoa yake, pili hajali furaha ya wenzake, dawa ya mpuuzi ni kumpa anacho staili....maana hata akisema amwache huyo mdogo wake John sio ndo mwisho wa kumtaka na pia kama ana weza kumwalibia mdogo...
Ushauri rahisi sana ....hapo huyo jackie amwambie John kuwa kama ataendelea na figisu figisu ana akamwalibia penzi lake basi naye ata mwalibia kwa mkewe yaani akimwaga mboga naye amwage ugali
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesoma story yako ya kwanza na hii
Ushauri kamwambie huyo kaka yako kuna mada nzuri sana jf ungependa naye aisome then jamaa ajiongeze mwenye
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.