Search results

  1. S

    Nahitaji afisa kilimo kutoka SUA please

    HABARINI ZA LEO WADAU WANGU. Labda nirejeshe salam za upendo kwa mlioniombea wakati sina kazi na hatimaye nimefanikiwa kupata kazi kwenye taasisi kubwa sana katika Taifa hii.Hakika ni taasisi kubwa nilikata tamaa nikasema labda taasisi hii inaajiri vigogo tu mimi si kitu lakini hatimayae baada...
  2. S

    Uandikishaji wapiga kura kizungumkuti hapa Bunju

    PLEEASE ukawa Bora muingie gharama kuhakikisha mnatangaza wenyewe kuhusu uandikishaji CCM ni janja sana ....Hata serikali za mitaa watu wengi hawakujiandikisha kwa kukosa elimu ya kutosha....Jikiteni kwenye kuushawishi watu wajiandikishe
  3. S

    Je unamjua muimbaji huyu!

    hariri habari yako iwe kiswahili
  4. S

    Mchaga huyu nimetahadharishwa

    mtizamo wangu..... Heading yenyewe inatia ukakasiii.....hivi ukiambiwa mmasai huyu...mpare huyu...hii si lugha ya kstaarabu.Ukisema mwanamke wa kichaga isingetosha? Pili,sijajua kama unaoa mke wako au ni wa watu.Kama ni wako basi angalia moyo unasemaje.Alafu kusema kwamba wachaga wote hawafai...
  5. S

  6. S

    Effects of using l and r intercheably

    advice for them is to make proper use of words as they are... no short cut
  7. S

    Effects of using l and r intercheably

    Those who have a problem of using letters ''l'' and "r" interchangeably they Normally make terrible mistakes in English than it is in KISWAHILI.Let us observe few examples here, in kiswahili instead of KULA becomes KURA,also RULA>LURA, KERO>KELO let us also see the outcome when it comes...
  8. S

    Live Updates: Yaliyojiri Mkutano Mkuu wa CHADEMA ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam...

    pamoja na mambo mengine organisation ya mkutano ni scientific
  9. S

    Live Updates: Yaliyojiri Mkutano Mkuu wa CHADEMA ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam...

    bendi inaimba wimbo muuuuuuuurwa wa ukombozi wetu tz
  10. S

    Ushauri kwa CHADEMA kuhusu jimbo la Arusha

    Wanachama watawachagua ila wale wasiokuwa na vyama ambao kimsingi ndio weng watatoa hukumu.
  11. S

    Ushauri kwa CHADEMA kuhusu jimbo la Arusha

    Ok hayo ni mawazo yako ndugu.kuna cku utafuta kauli mwenyewe
  12. S

    Ushauri kwa CHADEMA kuhusu jimbo la Arusha

    Hapa umeongea ukweli sema hapa act na ccm ni wengi kiac kwamba mwisho wa cku sie tusio na vyama automatic tutaitwa ccm.Lakin hata kama ntaitwa chochote ctajali.Lakin mwenye hekima akiambiwa jambo jema hukubal ukweli daima.Kama ccm walivokubal mawazo ya cdm japo kwa unafk japo walikuwa wanakataa
  13. S

    Ushauri kwa CHADEMA kuhusu jimbo la Arusha

    Jaman tukitaka kufika lazima tukubali facts na sio ushabiki ambao uko biased au falacy.generalization falacy kuwa ukiwa ni mwanachadema basi uko sawa siku zote.kauli yangu ctak back up ya act na ccm.facts speak themselves
  14. S

    Ushauri kwa CHADEMA kuhusu jimbo la Arusha

    mifano iko mingi.Mfanö akina chenge bado wanapeta,hata rostam angepeta kama asingejiuluzu.Anyway ambao hawataki kusikia haya watasema ooh nimetumwa au vingnevyo
  15. S

    Ushauri kwa CHADEMA kuhusu jimbo la Arusha

    Wananch wanaangalia alichowafanyia na sio wote ni knowledgeable au wanafuatilia maswala ya kisiasa.SWALI LAO NI AMEFANYA NINI?.Na ARUSHA ni jimbo ambalo linaweza kumweka yeyote.
  16. S

    Ushauri kwa CHADEMA kuhusu jimbo la Arusha

    pole wana cdm kwa uchaguz ambao unaendelea ndani ya chama.Natambua mabadiliko tuyatakayo tutayapata pamoja na hla nyingi za Ccm. Huu ni ushauri wangu ambao ningependa muuchukue yale mema na yale ambayo sio bhasi muuache. Ningependa kutoa yale nionayo kuhusu jimbo hil ambalo ni kama lulu kwa Ccm...
  17. S

    Dr. Slaa na prof. Lipumba ndani ya kipindi ITV

    ccm hukimbia mijadala hlo ni kawaida
Back
Top Bottom