Btu 18000 ni kubwa sana kwa chumba cha kulala sijui ukubwa wa chumba chako, nimefunga ya btu 12000 na ni non inverter naona iko poa sana, ukifunga elekeza kitanda chako kilipo inakuwa inapuliza vizuri
Hapo walikupiga maana feki ni 35000 hadi 45000 original ni 100000 hiyo ni front ukitajiwa ya nyuma si ndio utapaki gari kabisa na uzuri wa hizo bearing zinaingiliana na za gari nyingi
Wanakutisha tu siku hizi discovery yapo mengi sana pamoja na range rover kiufupi Land Rover zipo nyingi sana na zinaendelea kuingia pamoja na spare zake we vuta tu asikutishe mtu mimi mwenyewe mwakani Mungu akipenda navuta moja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.