Search results

  1. K

    Maandamani a Waislamu

    Pamoja kwamba kukashifu dini au kiongozi wa dini ni jambo baya, vurugu za waislam za hivi karibuni kuua na kuchoma nyumba za mabalozi wa nchi kadhaa hazikustahili na zilivuga mpaka. Kashfa inayoyohusika ilifanyua na mtu binafsi na haikuwa busara kushutumu serikali za nchi husika. Ingekuwa jambo...
  2. K

    Maoni Ya Katiba

    Tanganyika na Zanzibar zinapashwa kuwa na katiba zao, na iundwe serikali ya muungano (Federal State). Mamlaka ya Raisi yapunguzwe. Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu, Mkuu wa Polisi na wakuu wa tarisi wateuliwe na Raisi baada ya kuthiitishwa na Bunge. Raisi apokonywe mamlaka ya kuvunja bunge. Sheria...
  3. K

    Generetors

    When JK went on a Far East tour during his first term of office, he was given a gift of generetors for production of electricity by Japan, Korea, Pakistan and Iran during the electricity crisis. Can any one tell me whether these generators have been reveived and, if so, where they have been...
  4. K

    Muswada wa Sheria ya Mapitio ya Katiba: Download na pitia uone kilichomo na usambaze

    The Consitutional Review Bill that is being currently debated should be scrapped without delay and a new Bill laying out procedures for collecting peoples' view be published for peoples' views before being sent to Parliamnt. After referendum, a Bill for a New Constitution, based on the views...
Back
Top Bottom