Search results

  1. DJ CHOKA FREDY

    Mh. Lipumba kaonyesha ukomavu wa kisiasa

    Safi sana Mh. Lipumba, kiukweli ninakupongeza sana maana sisi wananchi tumechoka sana na hawa CCM, ukiendelea hv tutakuwa pamoja nawe daima kwani chama chako kutokua sirious na neno upinzani ndo jambo kubwa linalofanya tuone CUF haitufai maana nyie CUF huwa mnakuwa wapinzani kipind cha uchaguz...
  2. DJ CHOKA FREDY

    Mkuu wa wilaya Singida aapa kupambana na Tundu Lissu, CHADEMA!

    Mbona huyo mkuu wa wilaya anaongea na watoto badala ya watu wakubwa,, hivi mbunge akiwa anapunguzia au kuondoa kabisa michango ya shule anakosea au ana nia ya kuwapunguzia wananchi ugumu wa maisha ,,, huyu mkuu wa wilaya mashavu yake anaonekana kabisa ni miongoni mwa magamba ya CCM...
  3. DJ CHOKA FREDY

    CCM yafunika Mpanda

    Hao ndio maelfu jamani watu hata 100 kufika ni bahati kwan kama wajumbe wa CCM ni zaidi ya 200 ina maanisha kuwa hao ni wajumbe tu wa CCM na hakuna mwananchi hata mmoja humo na kama wamo basi hawafiki 50,,, pole sana NNAPE maana huu ndio mwisho wako kujiua kisiasa,,,
  4. DJ CHOKA FREDY

    Slaa ndani ya chuo kikuu cha ardhi!

    Tuko pamoja wazee kwa hilo maana Dr yuko sirious na mapinduz ya nchi yetu :majani7::majani7:
  5. DJ CHOKA FREDY

    Dream Team: Sitta, Magufuli, Mwakyembe na Urais wa 2015

    Labda wahame kutoka hicho chama cha magamba tofauti na hapo wamedanganywa na NEC :dance::dance::dance:
  6. DJ CHOKA FREDY

    Wabunge wawatimua mawaziri wa Kikwete; Kamati za Zitto, Serukamba zachachamaa

    Wanaokubali bajeti hii ipite wanyoshe mikono,,,,, wasiokubali wanyoshe mikono.....waheshimiwa wabunge wanaokubali wameshinda,, jamani huu ndio muundo wa bunge letu chini ya spika wa magamba..:mimba:
  7. DJ CHOKA FREDY

    Marando: Tunamtaka Rais mahakamani

    Sasa nani hapo anamshitaki mwezake au ndo watz tunadanganywa kama watoto????:smow::smow::smow:
  8. DJ CHOKA FREDY

    Marando: Tunamtaka Rais mahakamani

    Kwani ni kifungu gani cha sheria au ndani ya katiba yetu kinachomzuia rais kuacha kutoa ushahidi hata kama watu walifuja pesa kipindi yeye hajawa rais,,,,aende bhana akatoe huo ushahidi mahakamani ili sheria ichukue mkondo wake yeye si ndiye alikuwa waziri enzi hizo na kila kitu kilikuwa chini...
  9. DJ CHOKA FREDY

    Bendera za CHADEMA zimejaa barabarani Mwanza, JK afunga vioo vya gari lake

    Unajua wananchi walikuwa barabaran kwa kujua kuwa meya wao bwana Josephat Manyerere (CHADEMA) alikuwa kwenye msafara na ndivyo ilivyokuwa kwan ndg Manyerere alikuwa kwenye Landcruiser nyeupe ikiwa na bendera ya jiji ya rangi ya maziwa, kiukweli ndg Manyerere alikuwa kafungua dirisha akiwa...
  10. DJ CHOKA FREDY

    Bendera za CHADEMA zimejaa barabarani Mwanza, JK afunga vioo vya gari lake

    Mkuu Nyegezi kapita kama hapajui vile si unajua viwanja vyote meya wajiji kavirudisha vigawiwe kihalali
  11. DJ CHOKA FREDY

    Bendera za CHADEMA zimejaa barabarani Mwanza, JK afunga vioo vya gari lake

    kwa bahati mbaya sikuwa na kamera ila imeniuma sana
  12. DJ CHOKA FREDY

    Bendera za CHADEMA zimejaa barabarani Mwanza, JK afunga vioo vya gari lake

    Bora hata huo mkono angepunga hata ndani ya gari tungeona kupitia vioo lakini kwa jinsi gari lake lilivyokuwa liko kattikati kama pembe mraba harafu gari lake likiwa ndani ya magari mengine, tulichoshuhudia ni gari metaliki nyeusi ikiwa na kibendera na si vinginevyo huku ikiwa speed 180 wakati...
  13. DJ CHOKA FREDY

    Bendera za CHADEMA zimejaa barabarani Mwanza, JK afunga vioo vya gari lake

    JK yuko MZA na muda huu kaelekea kufungua barabara inayoelekea Geita kupitia Busisi' Ila cha ajabu ni kuwa baadhi ya bendera za CHADEMA zimezagaa sana barabarani kuashiria kuwa ni ishara ya ngome ya CHADEMA au nini??? bado sijapata jibu, na hili JK kaliona kiasi cha kumfanya afunge vioo vya...
  14. DJ CHOKA FREDY

    TAKUKURU, kuna kesi moja yenye ushahidi CHADEMA

    BARAZA la Vijana la Chadema (Bavicha), limepata viongozi wapya katika uchaguzi uliotawaliwa na mizengwe na vurugu zilizotishia usalama wa wapigakura.Habari zilizolifikia gazeti hili jana zilieleza kuwa, vurugu hizo zilichochewa na kitendo cha Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Willibrod Slaa...
  15. DJ CHOKA FREDY

    HAMAD RASHID katika Njama za Kumng'oa Maalim Seif?

    Unacheza na kuolewa nini, ndoa imekolea hiyo...ulishaona kama mke anapewa mapenz motomoto na mmeo atalalamika wapi wakati anamlidhisha????? :smow:
  16. DJ CHOKA FREDY

    Tarehe 10 Julai 2011 ni mwisho wa siku 90 za magamba!

    Jamani hili gamba ni gumu sana maana hata JK alipita jana MZA huku hakuna hata mtu wa kumpungia mkono,,,,,hili gamba linahitaji moto wa jehanamu kuliondoa, ni gumuuuuuuuuuuuu:smow:
  17. DJ CHOKA FREDY

    CUF wafuata mkia wa CHADEMA kuwaunga mkono maandamano nchi nzima

    Mmoja wa binti yao aliyeolewa Tabora kapigwa kipigo sana na wakaamua kuvunja uvumilivu :smow:
  18. DJ CHOKA FREDY

    CUF wafuata mkia wa CHADEMA kuwaunga mkono maandamano nchi nzima

    CUF ipo tena niliiona jana nikashangaaaaaaaaaaaaa,, ila sasa iko maji ya shingo :smow:
  19. DJ CHOKA FREDY

    TAMKO la UVCCM Arusha 25/5/2011 SOMA UJIONEE!

    Jamani hili gamba ni gumu sana yani nawahurumia hawa jamaa maana wanawavisha vijana mabomu ya nuclear tena kwa bei nafuu na kweli yanalipuka duuu,,,, leo ni siku ya 49 kati ya 90 waliozitoa hawa wazee wa magamba yani hata 1% ya gamba haijatoka, je hizo siku 41 zilizobaki watakuwa wamejivua hilo...
Back
Top Bottom