Search results

  1. data

    Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    Tulisha waambia mashabiki wa Simba mko very frustrated.. mwenzenu ndo huyoo...🥴🥴🥴
  2. data

    Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Mnhh..!! Hapa Kuna shida hapa... Let's wait
  3. data

    Umeelewaje katuni hii Mdau?

    Waachie wenye kazi zao..
  4. data

    CCM inamdhalilisha Rais Samia

    Ifeke mahala Samia ajitathmini....
  5. data

    Hivi ndivyo hela zilivyopigwa kwenye Bohari ya Madawa

    Huyu Sieigii nae mkuda tu.... Hovyo tu.mwixi tu nae
  6. data

    Nini kimefanya bunge lipoteze mvuto?

    Lala Basi ukue...
  7. data

    Nini kimefanya bunge lipoteze mvuto?

    Mkuu bila Shaka umelipwa usiku huu....
  8. data

    Nini kimefanya bunge lipoteze mvuto?

    Hii Ni hatari kwa taifa... Unaweza shangaa tushauzwa bila kujua.. Kwa maoni haya ya wadau ktk huu Uzi.. Spika jitathimini..
  9. data

    Kwanini Mdude Nyagali anatumia lugha za kumdhalilisha Rais wetu pasipo kuchukuliwa hatua? Naumia sana moyoni mwangu

    Nafikiri nyingi CCM ndo mna mpango rasmi wa kumdhalilisha Rais... Umeyaona matusi..si ukae kimya..do uyapuuze. Unaposambaza habari ya hovyo maana yake unataka Watanzania wote wajue.. then what!? Nyinyi ndo mnamdhalilisha mama...
  10. data

    Unahitaji mtoto wa Kambo au Kumuasili?

    Mwanaume alitekataa ndoa anaruhusiwa kuasili mtoto wa kike!? Vipi huyo mtoto akikuwa akawa mrembo, huyo baba yake anaweza oa!?
Back
Top Bottom