Search results

  1. Zinedine

    Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

    Sasa kama unataka tutumie mfano wa kumtembelea rafiki yako kwa RAV4, halafu ndio justification ya magari haya ya V8, then I've no say! Ila msilalamike sasa kwamba uchumi wetu mbovu, ni ninyi wenye ujuzi wa kuandika hayo makaratasi yenu muyaitayo "dokezo" na wala si wanayoyaidhinisha. Bila shaka...
  2. Zinedine

    Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

    Uko sahihi kabisa, kama una kumbukumbu sahihi, hizi ndizo sababu za kufanya Tanzania itumie magari hayo kwamba miundombinu yetu mibovu hivyo tunahitaji magari ya namna hiyo. Hizo ni sababu za miaka ya 70 na 80, Je mpaka leo bado tuna miundombinu ya namna hiyo? Je ni kweli RAV4 au Suzuki...
  3. Zinedine

    Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

    Ngoja tumsaidie huyu Dada maana naamini ni memba tu humu JF Mimi ngelikuwa ndiye Waziri Mteule ningeanza kuwaonyesha watanzania mambo yafuatayo:- 1. Katika Bajeti yangu ya Kwanza (2014/15), ningefuta ununuzi wa magari yote ya thamani Serikalini kwa ngazi zote isipokuwa mawaziri na Wakuu wa...
  4. Zinedine

    CCM na Serikali, Kwanini MAAZIMIO ya Kamati ya Bunge chini ya Mwakyembe yamepuuzwa?

    Hii hoja ni nzuri kukumbushiwa kwa wakati huu huku tukiwa tunajiandaa kuingia kwenye uchaguzi wa awamu mpya ya Rais
  5. Zinedine

    Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

    Kuna mengi ya kujiuliza kwa kinachoendelea nchini kwetu na huu mjadala ni matokeo ya hayo ya kujiuliza. Naungana na wengi hasa uchambuzi wa Mchambuzi juu ya dhima na majukumu ya Waziri wa Fedha vs sifa za mteule. Jibu la haraka lisilo na chembe ya kumung'unya ni kwamba kwa Wizara hiyo...
  6. Zinedine

    CCM Zanzibar wajipanga kukwamisha Serikali tatu

    Mkuu Nguruvi3, kimsingi nimekujibu maswali yako yote kama utapitia kwa utaratibu post yangu. Lakini nitarudia kwa lugha ya ufafanuzi kidogo:- Swali kwanza umetaka kujua ni kwanini hawataki serikali tatu; kwa mtizamo wangu nimejibu kwamba Serikali tatu zitailetea hasara Zanzibar kwa kuwa...
  7. Zinedine

    CCM Zanzibar wajipanga kukwamisha Serikali tatu

    Swali la Kwanza, Serikali tatu zitatoa usawa wa kuchangia muungano lakini itaondoa fursa za kufaidika na Muungano, hope umenielewa! Swali la Pili: Kwa Bara hakuna tatizo, wenyewe hawanaga msimamo linapokuja suala la Zanzibar; na pia kwa kuwa kiwango cha uelewa wa muungano ni mdogo kwa Bara (not...
  8. Zinedine

    CCM Zanzibar wajipanga kukwamisha Serikali tatu

    Dah, hapa sina budi kucheka tu
  9. Zinedine

    CCM Zanzibar wajipanga kukwamisha Serikali tatu

    Kuna kuchagua moja kati ya mawili. Kama wanahitaji kuwa katika Muungano, wachague Serikali mbili ndio zitakazowasaidia wao ila wapiganie mambo ya Fedha na Ushuru isiwe ya Muungano, mengine yote hayana tatizo. Wakiweza hivyo, maana yake ni kwamba iwe na power ya kujitungia sera zake za Biashara...
  10. Zinedine

    Duru za Siasa Special: Mgogoro kambi ya Upinzani (CHADEMA)

    Mkuu Nguruvi3, unachambua vizuri lakini bahati mbaya sana umezidiwa na ushabiki katika mada hii. Labda nikuzindue kwa mambo yafuatayo:- Ikitokea Zitto amekamatwa na madawa ya kulevya pale JKNIA na picha zikapigwa na zikasaamba kwenye magazeti na kuonyeshwa kwenye televishen, siku hiyohiyo Zitto...
  11. Zinedine

    Nuru Ilikuwepo hata Kabla Ya Jua, Nini Source yake?

    "Mwenyezi Mungu ni Nuru ya Mbingu na Ardhi. Mfano wa Nuru yake ni kama shubaka lenye kuwekwa ndani yake taa. Taa ile imo katika tungi. Tungi lile ni kama nyota inayo meremeta, inayo washwa kwa mafuta yanayo toka katika mti ulio barikiwa, mzaituni. Si wa mashariki wala magharibi. Yanakaribia...
  12. Zinedine

    Nape, Tujadili Faida za Serikali Tatu kwa Manufaa ya Umma

    @Nguruvi3, pamoja na kukubaliana nawe kwa masuala mengi, lakini hali si rahisi ki hivyo. Kwanza hapana budi kufanyika mchakato wa kubaini aseti za Tanganyika na Aseti za Muungano. Ninavyo mimi, Aseti zote zilizokuwa za Muungano, maana yake zinaihusu Tanganyika na Zanzibar. Mfano vyuo vya elimu...
  13. Zinedine

    Nape, Tujadili Faida za Serikali Tatu kwa Manufaa ya Umma

    65. (2).."Bila kuathiri mipaka iliyowekwa na Katiba hii, kila Nchi Mshiriki wa Muungano itakuwa na uwezo na uhuru wa kuanzisha mahusiano au ushirikiano na jumuiya au taasisi yoyote ya kikanda au kimataifa kwa mambo yaliyo chini ya mamlaka yake kwa mujibu wa Katiba ya Nchi Mshirika wa Muungano...
  14. Zinedine

    Baraza la Mawaziri: Nani atoke, Nani abaki, Nani aingie?

    Ukisoma habari za namna hii, na ikitokea kwamba tuna watendaji wenye akili hii, itakuwa tuna bahati mbaya sana kama nchi. Unapatwa na hisia kali sana namna watanzania walivyokosa utu
  15. Zinedine

    Baraza la Mawaziri: Nani atoke, Nani abaki, Nani aingie?

    JK hawezi hili. Tusiomuonee hata kidogo. Kwa herufi kubwa kabisa hawezi; Tena sio JK tu hata Mkapa hakuliweza hili kama tulivyoona kwa Mramba. Ndio maana wapo mawaziri wanaokosa majibu sahihi kwa wananchi wao na kuwaambia watumie vibatari kama ni maskini wa kununua umeme. Hii ni kauli mbaya...
  16. Zinedine

    Duru za Siasa Special: Mgogoro kambi ya Upinzani (CHADEMA)

    Mkuu Nguruvi3, tungali tunafuatilia uzi huu muhimu ingawa sometimes tunatingwa na mambo kadhaa. Hata hivyo, rejea kwenye ushauri wa wachangiaji kadhaa. Usitafute upande madhali wewe ni moderator tena mchamubuzi huru tena mwenye credibility ya hali ya juu hapa Jukwaani. Mwanzoni nilikuwa na...
  17. Zinedine

    Duru za Siasa Special: Mgogoro kambi ya Upinzani (CHADEMA)

    Mchambuzi[/USER], Zitto angefanya hivi iwapo tu angejiridhisha kwamba kuondolewa kwake uongozi na kutakiwa ajieleze ni sehemu ya "deterrence". Lakini likely ana idea kwamba hii si deterrence bali ni "indication" ya kutohitajika (sio kujirekebisha). Na hili kosa linafanywa na washabiki na baadhi...
  18. Zinedine

    Duru za Siasa Special: Mgogoro kambi ya Upinzani (CHADEMA)

    Nikubaliana nawe katika masuala mengi uliyobainisha kwenye post hii, lakini hapa kwenye conclusion yako, iko vema lakini sidhani kama itazingatiwa na pande mbili zote. Kwamba possibility ya CDM kumtimua (kumvua uanachama) Zitto ni kubwa sana kwani squad yote ya CDM haina mtizamo kuwa na...
  19. Zinedine

    Duru za Siasa Special: Mgogoro kambi ya Upinzani (CHADEMA)

    Asante Pasco, litakuwa suala la ajabu kama mtu atazungumzia tofauti na mtizamo huu kwa kile kinachoendelea CDM. Nadhani huu ndio mtizamo niuonao sahihi kuhus Waraka. Nionavyo, something must be done kuokoa "Uhai" wa Chadema. Ubaya wa Siasa ni kwamba wapiga kura hawana "all times permanent...
  20. Zinedine

    Duru za siasa - Matukio

    Mkuu Nguruvi3, nakumbuka niliwahi kutoa comment huko nyuma kwamba siko interested sana na siasa zetu za kitanzania au kiafrika kwasababu kwetu siasa ni ulaji kwa wenzetu kujenga hadhi ya moyo siyo tumbo. Ila jambo moja naloliona kwa sasa ni kwamba, kwa muda mrefu JF imekuwa mwiba kwa ccm kiasi...
Back
Top Bottom