Search results

  1. E

    Mshindi wa Big Brother Hotshots Idris Sultan Anunua nyumba ya kifahari

    Hongera ni nafasi nzuri maishani mwake
  2. E

    Tupia misamiati mipya(MICHAPIO)a.k.a KUCHAPIA

    Jamaa mwingine badala ya kusema "Ofisi za Tamisemi, Yeye alisema Ofisi za Samitemi BlackBerry 8900
  3. E

    Huu ni uchokozi sasa.

    Duuh! Ama kweli ni uchokozi mtupu BlackBerry 8900 using JamiiForums
  4. E

    Hili ni kwa watalamu wa Ving'amuzi na Satelite Dishes, ufafanuzi tafadhali!

    Ndugu yangu. Natumia Mediacom 930+ vp? Inaweza
  5. E

    Redio imaan: Tunayo barua ya peter msigwa kwenda kwa maaskofu kuwadhibiti waislam wa iringa

    Jamani kazi ya Redio ni kuelimisha umma na sio kuchochea vurugu. Hakuna kitu kibaya kama vyombo vya habari endapo kama vitatumika vibaya. Serikali ipo wapi?. Mimi naamini na vigogo wamo ndani yake, maana redio haiwezi kuwa chochezi na ikafumbiwa macho. BlackBerry 8900 using JamiiForums
  6. E

    Hodii wana jf, ndo nmeingia kundni hvo.

    Karibu sana! BlackBerry 8900 using JamiiForums
  7. E

    King'amuzi cha continental ndo mpango mpango!!

    Hicho kin'gamuzi kinauzwa bei gani?
  8. E

    King'amuzi cha continental ndo mpango mpango!!

    Sasa hivyo vin'gamuzi vya Intercontinental vinauzwa bei gani? BlackBerry 8900 using JamiiForums
  9. E

    Serekali mnalijua hili?kiliniki kwa mjamzito ni hela arusha,

    Sasa hii inatisha kama serikali inasema ni bure alafu wao wanawatoza fedha wamama wajawazito serikali sasa inafanya nini? BlackBerry 8900 using JamiiForums
  10. E

    CCM yapendekeza wagombea binafsi kwa nafasi zote ukiwemo urais

    Mmhh! Sasa tunaelekea kubaya, kama chama kikubwa kama chadema kinapendekeza umri wa mgombea uraisi uanzie miaka 18, tunapoteza muelekeo.
  11. E

    Rais kwenda kwenye msiba wa msanii je ni sahii?

    Rais na msafara wake gharama anazotumia ni kubwa sana. Alipawsa kutuma mwakilishi wake tu, pamoja na rambi rambi basi. Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
  12. E

    Babu wa Loliondo ashitakiwe ICC

    Jamani ndugu zangu sikieni. Siku zote muhitaji ndio anayemfuata babu kule, watu hawaendi kule kama vipofu wamepata ushuhuda kwa watu wengine. Halafu kila mtu anapewa kama jinsi anavyohitaji kwa imani yake katika kupona ugonjwa wake. Hata ktk maandiko matakatifu yameandikwa "KWA IMANI UTAPONA"...
  13. E

    Ujumbe kwa Watanzania katika gari la Mh.GODLESS LEMA

    Jamani ni kweli lakini tuangalie watoto na wezee. Kwa sisi vijana wenye nguvu tunaweza, lakini waathirika watakuwa ni hawa. Tudumishe amani jamani.
  14. E

    Tundu Lissu asusia mkutano Dar

    Ikiwa kama sheria ya mswada ya maoni ya katiba inasema hivyo, basi tutakuwa tunafanya comedy tu.
  15. E

    Watoto waletwa kujaza viti Karimjee Hall-Katiba

    Hivi kama ni kweli, hii nchi inaelekea wapi jamani?
  16. E

    Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    Baba endelea wengi tunahitaji kujua yaliyomo huko. Well done!
  17. E

    Chadema kufungua tawi UDOM

    Safi sana naona sasa mabadiliko makubwa yanakuja sasa
  18. E

    How to use JamiiForums effectively

    Lakini mimi naona hata kama ukiwekwa kichina mtanzania wa chini kabisa ananufaika na nini. Mimi ningependekeza tuachane na katiba na tuongelee kwa undani mifumuko ya bei zinazopanda kila siku, ikiwa tuna rasilimali nyingi na hatujui jinsi zinanyotumika. Katiba mimi naona zinawahusu hao...
  19. E

    How to use JamiiForums effectively

    Aisee ni kweli hata mimi nahitaji msaada kwa maana bado ni mgeni humua.
Back
Top Bottom