Search results

  1. D

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Ama kweli nguvu ya Umma ikiamua yawezakufanya mambo makubwa. Heko wana Arumeru, tunawaunga mkono. PEOPLE'S POWER kweli imedhihirika
  2. D

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Kaka nimefurahi sana na nashukuru kwa post yako ya kilatini,si kibovu ni safi na sawa kabisa. Deus ideas tuas benedicat
  3. D

    Jk aongoza maziko ya shekh yahya hussein

    Lazima aende manake huyo alikuwa mtabiri na kiongozi wake. Ukiweka matumain kwa mtu katu huwezi kufaulu.Ona sirikali ilivyo, imekuwa ikiongozwa kwa utabiri (uchawi tu). Jamani Mungu pekee atumainiwe
  4. D

    Siku kuu ya dini, ujumbe wa siasa

    Binadamu ni nwili na roho,kamwe havitengani kwa mtu kubaki mtu kweli. Mtoa hoja aweke wazi,hivi hakusikia ujumbe wowote wa kipasaka? Nahisi mjumbe kama ulikwenda Kanisan au kuangalia TV na kusikiliza redio.sikio lako ulili'tune' ktk siasa. SIASA inaadhiri maisha ktk ujumla wake,hivyo waumin...
  5. D

    Makamba: niko tayari kujibu matusi mkinihitaji

    kunukulu Biblia tu hata mashetan na pepo wachafu wanaweza. Anakwenda wapi labda anarudia kazi yake ya kufundisha primary, probably he will not come out scandalous as before
  6. D

    Sheikh Yahya awatabiria mikosi wanasiasa

    Huyo sheikh mtabiri amezidi kwa uongo. Kabla ya uchaguz mkuu alitabiri kuwa mmoja kati ya Slaa na kikwete angekufa,mpaka sasa bado wanapeta.sheikh atalisemeaje hili? 'A lier should have a good memory' aliyosema sheikh anafikiri tumesahau? KATU hatutaongoza na fikra za huyo mbabu. Basi...
  7. D

    Risk Assessment and Management: CHADEMA nayo Imuondoe Dr. W. Slaa!

    Ndugu Wabe, udini wa Dr Slaa umeanza lini,alipogombea urais? Ukiwa mkweli utagundua mambo mengi aliyoyafanya Dr S alipokuwa bungeni,hapo hamkuhoji udin wake. Kama si kumwogopa kwa ukali wa hoja na kukubalika kwake ktk kutetea maslahi ya umma,basi wewe na ccm mmeamua kumpakazia udini. Kaz...
  8. D

    Hatma ya Makamba CCM kujulikana leo

    Kikwete asemapo ccm ndiyo chama tu, vingine ni wanaharakati tu' anasahau kuwa hata kutafuta uongozi kwa nguvu hata kuchakachua ni harakati pia. Hivyo wakati wa ccm unakwisha sasa tunaelekea kuwamwaga
  9. D

    Godbless Lema ni mwanasiasa anayejiamini mno

    Lema aendelee kuwatoa watanzinia katika wingu la kutojua kupitia wanavyuo. Kweli ni ajabu kwa serikali kuweka vituo 3 kwa ajili ya maoni. Kiini macho hiki, wa Tz tuamke. 'Nguvu ya Umma'
Back
Top Bottom