Search results

  1. MKWECHE

    Kuteswa kwa Kibanda: Kubenea aliumbua Jukwaa la Wahariri (TEF)

    U-menigusa juu ya Mfuko wa NSSF!Mie ni mwanachama wa NSSF lakini nauchukia mfuko huu kuliko kitu chochote Duniani!Mfuko huu ndio kati ya mifuko yenye fomula Mbaya na ya kinyonyaji ya kukokotoa mafao ya mwisho ya mkupuo unapozeeka,wastaafu wa NSSF Ndio wastaafu wanaopata mafao kiduchu wakati...
  2. MKWECHE

    Mambo yanayonifanya niipende CCM (vitu walivyotekeleza)

    Una Cheti cha Masters ya Chuo Kikuu cha KATA lakini Huna Elimu ya Masters!Tanzania na Sudani kusini,Somalia,Mali,Gambia nk ni kundi la KIFO katika nchi masikini!Unapotoa mfano wa kujifananaisha na taifa la juzi na ambalo halina amani vita kiala siku basi,Uchambuzi wako ni sifuri! Wana-Jamvi huyu...
  3. MKWECHE

    Fagio la chuma la Mwakyembe lapandisha mapato bandari ya Dar es Salaam

    Yaani akifanya Jitihada na Kutekeleza wajibu wake ndio amechoka kuishi dunia hii!Wewe ni mmoja wa Wahujimu uchumi na waharibifu pale Bandarini,ungekuwa jirani ningekuzaba Kibao! Ushindwe na Ulegee!
  4. MKWECHE

    Elimu ya Nape Nnauye

    We Ni Mwongo Mkubwa!Kama haukuwa na bidii ya Kusoma na ukapata MBA corp Mgt bila andiko hata UDSM umepata cheti kwa njia haramu!Hakuna chuo kikuu duniani kinachomsukuma mtu akasome darasani bali andiko na mengineyo vitamkaba!Hujasoma mzumbe,acha kudhalilisha MU!
  5. MKWECHE

    Wananchi jimbo la Kalenga kuweni macho na usanii wa wabunge hawa

    Majimbo ambayo yachagua mtu ambae amestaafu kwa lazima kwa mujibu wa sheria wameliwa!Mie Jimbo la Kalenga nalijua na Mapungufu nayaona ila nikafikiri nipo peke yangu,nilipo ona wazo lako nikakukubali,Fanya mambo,unganisha vijana,waoneshe wanachokisa waoneshe njia mwisho wa siku watakuchagua!
  6. MKWECHE

    Wananchi jimbo la Kalenga kuweni macho na usanii wa wabunge hawa

    Kalenga Haina Bahati ya Mbunge Bora Sijaona!Labda utakuwawewe,Nitakupa Kura yangu!Usingalie Pesa,Mungai Mbona ana Mapesa yuko Yapi!Nakutia Shime,Gombea
  7. MKWECHE

    Wananchi jimbo la Kalenga kuweni macho na usanii wa wabunge hawa

    Kalenga Haina Bahati ya Mbunge Bora Sijaona!Labda utakuwawewe,Nitakupa Kura yangu!Usingalie Pesa,Mungai Mbona ana Mapesa yuko Yapi!Nakutia Shime,Gombe
  8. MKWECHE

    Dk Kitima: Ni nchi gani inayoweza kufanya uzembe kwenye ajira kama Tanzania?

    Kitima yupo safi na Canon law yake ya kufundishia major seminary!
  9. MKWECHE

    Aliyekuwa DIWANI wa CHADEMA ahamia CCM... asema LEMA alikuwa anamtaka KIMAPENZI

    Siasa haizuii mtu kutupa ndoano!Safi lema Kumbe Kidume!Mfate hate CCM alipoenda hakuna kulala mpaka kieleweke!
  10. MKWECHE

    Kiini Macho Kingine cha TUME ya Bunge

    Ni vema ukapeleka maoni kwenye tume ili yaingizwe,badala ya kulalamika!
  11. MKWECHE

    CCM ndio waasisi, walezi na vinara wa rushwa katika uchaguzi Tanzania?!

    Mie Mkweche napatashida na kuhuzunishwa na vilio vya Rushwa ndani ya chaguzi za CCM! Mwenyekiti Waoanalalamika,wazee wao wanalalamika,walioshindwa analalamika sasa jamani hii nchi inakwenda wapi! Hawa walioshinda kwa mashaka,kulaumiwa na kutuhumiwa kwa rushwa,kesho utasikia wameteuliwa wakuu wa...
  12. MKWECHE

    Majibu ya Sitta kwa Dr Slaa: Asema Dr Slaa Mnafiki, Dikteta

    Hata mimi Mkweche nikiwa Rais naweza kutoa Elimu na Afya Buree kwa kutumia mapato yatakayotokana na uzimamizi madhubuti wa Bandari ya Dar es Salaam pekee!Wengi wa Viongozi tulionao wamefikia Ukomo wa Kufikiri zaidi ya walichokifanya!Ndio Mana kwao kila Kitu hakiwezekani!Mie nawasamee Buree!
  13. MKWECHE

    Chadema kumfikisha mahakamani Nape Nnauye

    Mkishindwaga Kesi hamkawii kusema Mahakama zina Shinikizwa na Hazipo Huru!Mkishinda hamsemi zipo kama zipo Huru!Mkweche siamini watu watu vyama vya siasa!Vyama vingi visivyo na Ukomo ni JANGA ktk nchi!Nchi imedumaa kwa ajili ya SIASA badala ya watu kuchapa Kazi na Kutumia fursa...
  14. MKWECHE

    Chadema uk wanunua ambulance, atakabidhiwa mlezi wa tawi mh lema kwenye .mkutano wa reading kesho

    Ziwe Used(Kuukuu) wasije kujenga Jina kwa Kutuletea MIKWECHE! Zikiwa Mpya Mkweche nitaomba kwa ajili ya Hospitali nayofanyia kazi!Ambulance yetu ni Mkweche!napenda mpya na si Makapi ya UK! Mwalukosi,Tusahau Iringa kwetu!
  15. MKWECHE

    Huu tunaomfanyia Dr Ulimboka ni unafiki, ujinga na upumbafu uliokithiri!

    Huna Jipya! Zaidi ya Kuporomosha Matusi!Si Afadhali Ulimboka bado Yupo Hai!Je Wale Wanyonge waliokufa kwa ajili ya Kukosa Tiba mbona huwataji!Kutekwa kwa Ulimboka kutabaki kuwa Haramu!na Mgomo wa Madaktari aliouhitisha NAO ni Haramu!HAKUNA ALIEKUWA ANATETEA Mnyonge!Mtekaji ni Muuwaji na Kiongozi...
  16. MKWECHE

    Kikwete kilimo kwanza, Lowassa elimu kwanza!

    Hakuna Afya Bila Chakula!Na Chakula kinatoka Shamba!
  17. MKWECHE

    CV ya Waziri Kivuli Miundombinu Ujenzi na Uchukuzi Chadema

    Huyu hana uelewa mkukwa kwa elimi ya cheti aliopata kwa Qualification ya middle school! Hapa Hamna kitu
  18. MKWECHE

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    TOBA!Slaa Ana Heshima Gani!Kama anadhubutu Kutelekeza Mke na Kuishi na Mwanamke wa Mtu(Mnyonge) ambae Hajapewa Talaka!Mtu ambae hawezi kulinda ndoa yake na ya mwenzake Hana Heshima! Mteteeeni ila Ukweli Upo Palepale Heshima ya Slaa Siioni! Ma kweli kumtawala MTZ kiakiali ni Rahisi sana!
Back
Top Bottom