Search results

  1. Mamamkwe

    Millen Magese (Happiness Magese) apata mtoto

    We utakuwa na roho mbaya kama mchawi. Umeumia kweli
  2. Mamamkwe

    NSSF: Vigogo 12 waachishwa kazi kwa tuhuma za ubadhirifu na matumizi mabaya ya ofisi

    Kila chombo kina sheria na kanuni zake. Sheria zake uelezea jinsi utaratibu wa kuendesha shughuli zote ikiwemo mamlaka ya nidhamu. Ni kweli mwenye kuchunguza ni vyombo vya usalama au tume maalumu ambavyo vyote huteuliwa na mamlaka ya nidhamu ya chombo husika. Majibu yeyote yanayopatikana...
  3. Mamamkwe

    Kama hujawahi kusoma Vitabu hivi Basi hujui utamu wa vitabu

    Njama Alfu lela ulela Vitabu vya Ben Mtobwa na E. Musiba vilikuwa vizuri nilikuwa nikikishika ni mpaka nikimalize.
  4. Mamamkwe

    Kama hujawahi kusoma Vitabu hivi Basi hujui utamu wa vitabu

    Tutarudi na roho zetu Kikosi cha kisasi Simu ya kifo
  5. Mamamkwe

    Hivi jimbo la Lazaro Nyalandu halina kero zinazomhitaji?

    Nyie ndio wachawi wenyewe. Yaani una wivu hawa watoto kusaidiwa!
  6. Mamamkwe

    Pitia hapa huenda utanikumbuka

    Umesema kweli. Walioelimika wakiamua kujiajiri huwa wanafanya wonders
  7. Mamamkwe

    Tupunguze "kuisimanga" ATCL, haijengi zaidi ya kukatisha tamaa

    Wanaendesha vizuri tu . Tusipende kukosoa kila jema linalofanywa jamani. Inafika mahali huwezi elewa wakosoaji wanataka nini haswa
  8. Mamamkwe

    Natamani kuchana vyeti!

    Kazi utapata tu ipo siku amini ilo. Tuma maombi na Cv kila mahali usiangalie NGOs tu. Jaribu kuingia kwenye webste za mabenki mbalmbali na micro finances kama pride na Finca hutakosa. Kwa ninavyojua Pride ina watu wa SUA na sociologists wengi . All the best
  9. Mamamkwe

    Natafuta kazi ya kufundisha masomo ya sayansi

    Umeshapata kazi? Anatafutwa mwalimu wa mathematcs na masomo ya science form two and three awafundishe watoto kipindi cha likizo
  10. Mamamkwe

    Kweli ATCL wanastahili kutumbuliwa

    Msiwalaumu Atcl. Anayetoa ruti ni Taasisi nyingine wao wanapangiwa
  11. Mamamkwe

    Rais Magufuli, naomba utoe msamaha kwa ndugu George Paul

    Hii ipo chini ya Hakimu angeweza kumpa adhabu ya kifungo ncha nje kwani hakuna haja ya kuongeza watu magerezani. Mwenyekiti wa parole anaweza kuingilia kati sasa baada ya kuhukumiwa. Ila mahakimu wabadilike sio kila mtu ni wa kuhukumiwa kifungo cha ndani.
  12. Mamamkwe

    Nimegundua kumwazimisha mtu gari ni hatari, nimekoma

    Pole sana ndio hivyo watu wengine hawathamini kitu cha mtu. Na labda ungeliona hilo gari linavyokimbizwa na kupitishwa kwenye mashimo mwakati wewe mwenyewe unalitunza ungetamani kulia. Has vijana wadogo hao waogope kabisa watakuuzia kesi hivi hivi
  13. Mamamkwe

    Bombardier and Government of Tanzania Sign Purchase Agreement for Two Q400 Turboprops

    Nampongeza sana Mheshimiwa Rais kutufuta aibu angalau sasa na sisi nchi yetu inamiliki ndege
  14. Mamamkwe

    Rais Magufuli amteua Thobias Andengenye kuwa Kamishna Mkuu wa Zimamoto

    Promotion. Ni Mkuu na kiongozi wa Jeshi la Zimamoto
  15. Mamamkwe

    Kapteni Hilda, Rubani mwanamke wa kwanza Tanzania kurusha Boeing

    Elizabeth bado anafanya kazi ATCL umri umeenda kidogo na anarusha Boeing 737 ambazo sasa hazipo.
  16. Mamamkwe

    Shirika kubwa NSSF, amekosekana mtu wa kumpromote ili awe Mkurugenzi hadi atoke nje?

    Wakati mwingine ni vema kuleta mtu mpya au uongozi mpya ili kuongeza ufanisi na kuondoa majungu. Kuna taasisi kiongozi anapokaribia kustaafu kila mtu anautaka uongozi , badala ya kuchapa kazi wanabaki kuharibianana kupiga majungu. Akipewa uongozi mmoja wao hawatoi ushirikiano ni kuvurugana na...
  17. Mamamkwe

    Madalali wamefanya maisha kuwa magumu jijini Dar

    Siyo madalali WA nyumba Tu hata madalali wa vyakula wanachukua kwa mkulima kwa bei ndogo Sana lakini wanakuja kumuuzia mlaji kwa bei ya Mara tatu mpaka nne. Mlaji anaumizwa na mkulima anaendelea kuwa masikini. Hapa Serikali inatakiwa kuchukua hatua stahiki.
  18. Mamamkwe

    Kilimanjaro Express ndio Scandinavia inayokuja

    Mnawasifia bure lakini huduma zao ni za ovyo. Mwaka jana nilikuwa nampeleka mtoto shule nilikata tiketi mbili. Nikaomba kupandia kimara ili iwe rahisi . Walinakili kwenye chati yao kwamba atasimama kimara. Asubuhi tuliwahi kituoni . Huwezi amin lile gari lilitupita kituoni halikusimama kabisa...
  19. Mamamkwe

    TANZIA: Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege afariki Dunia

    Amekuwa na mazoezi hayo ya kuogelea kwa miaka mingi. Na kumbuka kuna watu wana utaratibu wa kufanya mazoezi asubuhi sana na kufika kazini kabla ya saa 1 unusu ndio ilivyokuwa kwake.
Back
Top Bottom