Search results

  1. alexmahone

    Wale wenzangu wapenzi wa Gb WhatsApp, Yo WhatApp, WhatsApp Plus hali ni tete!!!

    1. Je hizi Clone zenu zinaweza kuhide Charting na kupiga password kuzuia mtu mwingine asione wala kujua kama kumewahi kuwa na charting.!? 2.Je kwa simu yenye line mbili zinaweza kutumika kwa wakati mmoja kupitia namba mbili tofauti lakini kwenye simu moja.!?
  2. alexmahone

    Kuna watu tuna bahati mbaya duniani nahisi nimeambukizwa HIV

    HIV haiambukizwi kirahisi hivyo.BTW sio kila malaya ana ngoma kama unavyodhani. Kwahiyo punguza presha kijana endelea kula malaya bila kusahau Kondomu.
  3. alexmahone

    TAKUKURU yamfikisha mwalimu mkuu mahakamani kwa kosa la kumdanganya mwajiri wake

    TAKUKURU ifike mahala wawe wana deal na Material Figures aisee. Mhasibu wao alitembea na Billions of monies na bado kawashinda kwenye Case.!
  4. alexmahone

    Huyu Mlinzi wa Rais Magufuli kapatwa na majanga gani tena?

    Alikuwa yupo sahihi kabisa, pengine unapaswa kumshukuru kwa kuokoa maisha yako, maana kwa jinsi ninavyowafahamu FFU wanaolinda benki hakika wangewatwanga risasi na mngepewa kesi ya ujambazi.Kwa tukio hilo mlionekana mmefanya njama ili ku draw attention zao na nyie mfanye mambo yenu ya ujambazi...
  5. alexmahone

    Je! Makalio yenye vishimo ni makalio fake?

    Nimewahi kumuona wa hivyoo.Nilipata shaka sana.Nilimuuliza mara nyingi lkn hakusema. Vishimo vinakuwa pembeni ya tako zote mbili.Hiyo nahisi ni Fake hakika mpk leo sijalata jibu lakini ni kalio moja amazing ajabuuu yaani mubashaaraaa. Ila sio dimpozi kwakweliii
  6. alexmahone

    Kama mdomo wangu uliwahi kumtukana Jakaya Kikwete nimekwisha tubu mara 1000

    Mnyika yuko wapi.Maana yule ndiye alifanikiwa kumtaja Jkikwete bungeni huku tukimuona live na kutujulisha kuwa mkwere ni Dhaifuu. Sasa kimekuja chuma hikii ukijifanya much know unakula Ban hapo hapoo ulipo..!!
  7. alexmahone

    'Wasanii' wafuatao waache kuimba wakafanye kazi zingine

    Hemed Phd anajua muziki aisee.Huyo mtoe kwenye hiyo List yako..!!
  8. alexmahone

    Bcom in accounting udsm vs BAF mzumbe, ipi ina soko huko mtaan?i

    Soko la ajira halipo hivyo siku hizi.Hawaangalii BAF au BCOM, kama ni financial institution especially Bank(CRDB) wao wanaangalia GPA za juu tena kwa waliowahi kufanya Field kwao. Nawafahamu jamaa zangu kadhaa wenye BAF ambao wako CRDB kwa sasa walikuwa na GPA nzuri na walifanya Field hapo pia...
  9. alexmahone

    Asante kondomu, hakika sio kwa ujanja wangu..!!

    Aaah sio kweli.Kondomu inazuia Maambukizi ya HIV pia.Chukua toka kwangu hiyo, ingekuwa haizuii tungeshakuwa tumeukwaa kitambo sisi wengine.
  10. alexmahone

    Asante kondomu, hakika sio kwa ujanja wangu..!!

    Tumia Kondomu hata kwa unayemjua hutokuja kujuta, Kiongozi.
  11. alexmahone

    Asante kondomu, hakika sio kwa ujanja wangu..!!

    Sasa unapata hasira za nini..!? Weeh jamaa maisha yako yatakuwa ya stress sana.Kwani kuna aliyekulazimisha kusoma.!?
  12. alexmahone

    Asante kondomu, hakika sio kwa ujanja wangu..!!

    Hahhaaha yule yupo porini huko Hombolo anasema.Afu mambo ya kubet mi siyataki mtu hata hujui sura yake wala shepu yake. Aisee "that is too much risk to bear..", mabaharia tunaangalia mzigo show kwa show..!!
  13. alexmahone

    Asante kondomu, hakika sio kwa ujanja wangu..!!

    Kiongozi, Kuwa better Man sio kitu rahisi.Ukishazoea ubaharia kuacha inakuwa ngumu.Ila tunajitahidi kuwa makini..!!
  14. alexmahone

    Asante kondomu, hakika sio kwa ujanja wangu..!!

    Salamuuuu..!! Inafika muda unajaribu kuhesabu idadi yao unakuta unafika 300+, unaogopaaa unajishangaaa unajisema hawa ni watu etiii, unakumbuka zile takwimu zao kuwa wakiwa 10 basi mmoja wao kaathirika.Ukiweka uwiano kwa ulipopita unagundua hakuna namna unaweza kuwa hujakutana na walioathirika...
  15. alexmahone

    SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

    GOT Ni best series of all the time, lazima utulize akili ili uweze kuielewa.Kama wewe ni mpenzi wa Korean movies hapa lazima utoke mweupee,Kama interest yako ni mapanga tu pia utapata taabu sana kwakuwa hapa unaweza kuwa na interest na star flan na ukashangaa anauliwa katika battle field...
  16. alexmahone

    Hii ndio kazi ambayo uonekana haina maana lakini inafaida sana

    Faida kubwa ya hiyo kazi kwa mwanaume endapo utakuwa nadhifu, charming basi utawakulaa wake za wenzio, wadada wa maeneo hayo na mwishowe utakuwa unawashonea nguo bure.
  17. alexmahone

    RPC Mroto nimeelewa kwanini ulitaka kuwapiga waandamanaji,

    Ujinga mzigo, Mroto alikuwa anawapa Mori askari wake utadhani wanaenda kupambana na nduli au Gaidi kutoka mashariki ya mbali. Kumbe raia mwema tu aliyetakiwa kuwa na bango na Tshirt yenye maandishi machache tu.Ingekuwa nchi za wenzetu Mroto alitakiwa ateue askari wa usalama barabarani ambao...
  18. alexmahone

    Mambo 8 yanayoenda kumuangusha Magufuli 2020

    Jpm hata akipambana na tofali hawezi kushindaa sema ataiba kura tuu
  19. alexmahone

    Secretariat ya ajira (PSRS) hutumia vigezo gani kutathmini cutt-off points zao? Interview ya watu 3,062 wamechaguliwa watu 46 tu? Yaani 1.5%

    Safii.Bila shaka utakuwa umefanikiwa kusonga hatua ya mbele zaidi.Mola akuongoze upate nafasi
Back
Top Bottom