Search results

  1. L

    Nisaidie Nidai Fidia Serikali

    Pole sana! Unachotakiwa ni kufungua shauri la madai kwa malicious prosecution uliyofanyiwa na Serikali. Hivyo unatakiwa kutafuta wakili atakayekusaidia kufungua shauri hilo. unatakiwa ufungue shauri hilo ndani ya miaka mitatu toka hukumu ilipotolewa. kwa kifupi unapaswa kutoa notisi ya siku 90...
  2. L

    Viti maalum- CHADEMA

    Ndugu zangu wa Chama cha domokrasia na Maendenyuma aka Chama cha Mazishi jaribuni kujibu hoja acheni jazba na hasira!
  3. L

    Mshahara wa Mtoto wa mkulima Sh ngapi jamani?

    Nikianza na Waziri, mshahara wake ni sh. 2 .8 milion kabla ya kodi! posho ya ziada ni sh. 415,000 kwa ajili ya simu, umeme na maji kwa mwezi ambayo wenyewe huita utilities! PM mshahara wake hauzidi 5.5 kabla ya makato ya kodi, kwa bahati mbaya au nzuri yeye hapewi utilities kwa kuwa vyote hivyo...
  4. L

    Viti maalum- CHADEMA

    Jamani hii ni haki? CHADEMA ina kiti zaidi ya kimoja katika mkoa wa Shinyanga lakini haina mbunge wa viti maalum kutoka katika mkoa huo ilhali Mkoa wa Singida una Mbunge wa viti maalum wakati ina mbunge mmoja tu wa jimbo tena mbunge huyo ni kaka wa mbunge wa viti maalum> Nisaidieni hili!
  5. L

    Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

    Wafanyakazi wa nchi ndio walipa kodi wa uhakika kwa Serikali. Hakuna namna kwa mfayakazi ktk sekta rasmi kukwepa kodi! kwa kutambua hilo Dr. Slaa akaona ni vema mshahara wake augeuze kuwa posho ili asilipe kodi!
  6. L

    Wajerumani kuzima mitambo yao ya nuklia milele huku sisi tunataka kuijenga!

    ndugu nakubaliana nawe kwa asilimia mia moja! huu ni wakati wa kuachana na mawazo potofu kuwa mwafrika hawezi kufanya jambo lolote! kwa taarifa tu lengo la kuwa na nyuklia ni kuzalisha umeme na the Govt now is training its officials inthat area b4 embarking into business!
  7. L

    Posho na Mishahara ya wabunge...

    Nalipongeza baraza la mawaziri kwa kutolipana posho!
  8. L

    Hali ni mbaya Tarime: Polisi watembeza Mabomu usiku huu; Kina Lissu wakamatwa

    Akiwa darasa la tano Lissu aliumwa maradhi ya akili! Sina hakika kama ameshapona!
  9. L

    Hali ni mbaya Tarime: Polisi watembeza Mabomu usiku huu; Kina Lissu wakamatwa

    Akiwa darasa la tano Lissu aliumwa maradhi ya akili! Sima hakika kama ameshapona!
  10. L

    Hali ni mbaya Tarime: Polisi watembeza Mabomu usiku huu; Kina Lissu wakamatwa

    ni vema watu wakawa watulivu! Pia tujiulize chanzo cha tatizo ni nini! Je, waliouawa walikuwa wanavunja sheria? Na je hatua ya polisi kuwaua ni justified?
  11. L

    On a Serious Note: Waziri wa Sheria anapokuwa hajui Katiba!

    Kwa madhumuni ya kuweka sawa rekodi alichosema Waziri Kombani ni kuwa Katiba ya 1977ni Katiba ya tano(ingawa wanazuoni wengine wanasema ni ya nne). Kwa faida ya wenzangu naomba nizitaje: 1. Katiba ya Uhuru ya 1961 2. Katiba ya Jamhuri 3. Katiba ya Muungano ya 1964 ambayo binafsi naamini...
Back
Top Bottom