Search results

  1. J

    Binti aliyepo chuo dar

    wanachuo wakipewa wosia wa baba, wanaweza kutulia, maana natafuta mtu awe busy na shule(kitu muhimu maishani) lakini pia awe na muda wa kutisha kuwa nami. Si muda wote but awe na muda walau mnakutana two times a week siyo mbaya.
  2. J

    Binti aliyepo chuo dar

    rose mbona wanitisha. ukweli ni kuwa awe tayari kupima. Kama hayupo chuo basi awe amehitimu walau form six, awe na kazi, ila awe na muda wa kutosha. maana mie nahitaji mtu wenye muda wa kutosha. Maana mambo mazuri yanahitaji nafasi. Ndio my preference
  3. J

    Binti aliyepo chuo dar

    Mimi ni mwanaume miaka 33. Natafuta rafiki wa kike awe mwanachuo, awe serious kwenye masomo na maisha kwa ujumbe. Lengo ni kuwa na urafiki wa kawaida, tufahamiane, tusaidiane. Huhusu sifa zangu, ani PM huko ndiko tutajadiliana zaidi sifa zake na za kwangu pia, tutaelezana ukweli ndipo tuone kama...
Back
Top Bottom