Search results

  1. I

    Mtukufu Rais bora tu angeandika R.I.P

    There is nothing wrong with the sentense "on behalf of myself". It, of course, violates the "modesty" rule that you shouldn't mention yourself before "the whole team", but that's not a syntax violation. Yes, it may be redundant, but English is full of redundancies, and life's too short to worry...
  2. I

    Magufuli atumia lugha ya Kiswahili kwenye hotuba ya kumkaribisha PM wa India

    Raisi wa China akiongea Kichina kwenye dhifa sawa. Raisi wa Urusi akiongea kirusi sawa. Wa Vietnam akiongea Kivietnam sawa. Raisi wa Ufaransa akiongea Kifaransa sawa. Raisi wetu akiongea Kiswahili inakuwa nongwa. Watanzania tuna matatizo sana !
  3. I

    Try ChatDealz

    ChatDealz is redefining the concept of local connectivity in TANZANIA.ChatDealz helps you to connect with your surrounding people/businesses in TANZANIA . Install ChatDealz @ YoApp: Hyperlocal Food App - Android Apps on Google Play
  4. I

    Tunauza bentonite

    Kampuni yetu ya kays logistics inaagiza na kuuza bentonite (drying mud) inayotumika zaidi kwa ujenzi ndani ya maji au kwenye shughuli za madini. Tuna bags za kilo 25 na kilo 50 per bag. Kwa maulizo tafadhali piga 0713411148.
  5. I

    Natafuta transporter Morogoro

    Please call +255-713411148 for your transportation needs.
  6. I

    Natafuta transporter !

    Please call +255-713411148 for your transportation needs to/from Mozambique.
  7. I

    'Itifaki imezingatiwa'

    "Hata wale ambao hawajatajwa kwenye orodha lakini wanastahili wametambuliwa"
  8. I

    Ufafanuzi: Je, IGP anaweza mpigia saluti CDF wa JWTZ?

    Well jaribu kuangalia sehemu ambazo JWTZ hawajaandaa sherehe. Wakisimama wanasimama kwa "order" ipi ; wakikaa wanakaa kwa order ipi. Je wakimpokea au wakimsindikiza Raisi Airport wanampokea na kumuaga kwa "order" gani ? Wakiwa wote pamoja mahali ambapo siyo sherehe ya JWTZ wanaondoka kwa "order"...
  9. I

    Ufafanuzi: Je, IGP anaweza mpigia saluti CDF wa JWTZ?

    Jibu rahisi kabisa la kuhusu hadhi na "ukubwa" ni kwa kuangalia mambo matatu muhimu ; (1) wakiwa pamoja angalia nani amesimama kulia kwa mwenzake (2) wanapompokea raisi nani anamsalimia kwanza kabla ya wengine (3) wanapomuaga raisi nani anamuaga mwisho.
  10. I

    Nauza line ya m-pesa, tigo pesa na airtel money

    Nahitaji line ya tigo pesa. Nipigie kwenye 0779411148
  11. I

    Raisi Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Awamu Tano 2015-2020 atakuwa nani?

    Makongoro Julius Kambarage Nyerere
  12. I

    Finish your year by forgiving your advesaries !!!!

    "If your enemy is hungry, feed him. If he is thirsty, give him a drink. Doing this will be like pouring burning coals on his head, and the Lord will reward you" Proverbs 25:21-22
  13. I

    Blackberry Bold 9000 Mobile PHONE- Inauzwa kwa bei poa !

    Naihitaji simu hii. Tafadhali nipigie kwenye 0713411148 tufanye biashara.
  14. I

    On time,in time .What are the differences?

    "in time" = AMEWAHI MILANGO YA MUDA ULIOKUWA UNATAKIWA "on time" = AMEFIKA MUDA HUO HUO ALIOTAKIWA
  15. I

    Unit Truck (kichwa cha Lori) linauzwa Bei poa

    I am interested. Please call me on 0713411148
  16. I

    Mafao ya NSSF walivyo wazidi kete PPF in their own game

    Ndugu zangu upandaji wa vima vya chini vya pensheni katika Mifuko hii ya Pensheni unaangalia mambo mengi sana. Unazingatia mchakato wa actuarial analysis ya Mifuko ikiangalia ina akiba kiasi gani, ziada kiasi gani na uwezo wa kulipa kwa muda gani wa mbele katika mazingira yoyote yale...
  17. I

    Taarifa ya daktari wa rais

    Taarifa haijasema anapima ukimwi kila baada ya miezi sita. Imesema anafanya "general examination" kila baada ya miezi sita kitu ambacho kwa raisi ni sahihi kabisa !!
Back
Top Bottom