Search results

  1. M

    Usomi wa Slaa una maswali kuliko majibu! Doctarate yake ni ya Kupewa - Kigwangala

    hizi habari ni kweli?, unamaanisha slaa amechakachua vyeti?. Unaweza kutupa na mambo ya mana aliyoyafanya Tz tangu hiyo 1948 alipozaliwa?
  2. M

    Umewahi kutembela balozi za Tanzania nje?

    kwa utaratibu kazi za kibalozi zina utaratibu wa kipekee ktk kuajiri si kama ajira nyingine kwani its a noble job, na itarajiwa mtu anaepata kazi hizo atakua ana sifa stahili kwani linahusisha nchi zaidi ya moja hivyo unaweza kupeleka mtu mjinga akaharibu mahusiano ya nchi kiuchumi,kisiasa...
  3. M

    Wilson Mukama awa katibu Mkuu mpya CCM na CC Mpya

    naamini Jk si kiongozi mbaya bali ana washauri wabaya. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni yapo mambo amefanya nchini ikiwemo kuwapeleka mafisadi mahakamani ambapo marais wote walishindwa na chuo kikuu Dodoma si mchezo! Big up Jk. Thanks.
  4. M

    Wilson Mukama awa katibu Mkuu mpya CCM na CC Mpya

    nilidhani labda CCM italeta mabadiliko makubwa na kuleta tija ktk ushindani wa kisiasa Tz na pia kuandaa mazingira ya 2015 lakini hakuna walichokifanya kabisaaa! Hatudanganyiki....
Back
Top Bottom