Search results

  1. M

    Tanzania kugundua chanjo ya UKIMWI

    Kwa ushauri kuna haja ya watafiti wa kitanzania na hasa KCMC kuwa careful about their intellectual property protection. Isije dawa ikapatikana hapa, patent ikaenda kwa wamarekani. I know we don't care about that, but it the great asset. Kuna vyuo vya kiafrika vimeengage into prtneship in doing...
  2. M

    Kafulila na Zitto wanaivuruga NCCR - Moses Machali

    Kama vipi, Mbatia aitishe mkutano na kma mwenyekiti atoe hoja ya kuwatimua uanachama Kafulila na Mkosamali ili na ubunge uwatoke turudi kwa uchaguzi-Km Mrema alivyofanya. Hatari hapa ni NCCR kuyaretain majimbo hayo wakiyatoa sadaka kwa kuwafukuza uanachama! Tafakari
  3. M

    Nimeikodi helikopta bila kushauriwa wala kuelekezwa na Jussa wala Hamad Rashid - Mtatiro

    Siasa za nchi haziendeshwi km migomo ya vyuo vikuu. Unazidi kujimaliza kisiasa kadri unavyohubiri bad things abt CDM. Rudi kundini, keep quiet or go to Pemba.
  4. M

    DC Igunga amefichua udhaifu wa CHADEMA?

    sinunui Raia Mwema tena
  5. M

    Waboyzia: Waliosoma Tabora boys tangazo maalum

    Dont forget afande Peter. Mi nilipitia pale 1995 -1997,kwa kuona drill nilivyoreport form five nikazuga nimevunjika mbavu. Baada ya stick za afande chacha ati siwezi kuwaenjoy tu uwanjani, next day nikajoin and i enjoyed the kwata.Nilikuwa na jamaa naye alizuga ana kifafa, naye alijoin kwta...
  6. M

    China na bidhaa feki

    Nilikuwa naomba mawazo yenu. Linapokuja swala la bidhaa feki yaani (counterfeit goods), watu wengi tunanyooshea kidole China. Na hii imeharibu sana image ya China kwa kuharibu fikra za watu kwamba kila kitokacho China ni feki. Ukweli ni kwamba China inasupply ulimwengu mzima na kwa mjibu wa...
  7. M

    TRA 'wambana' Dk Slaa

    Issue ya uplifting ukiagiza kijigari chako japan is disgusting. I used to respect tra but since such horrible thing happened to me naona km genge tu la wakusanya ushuru tena unfairly. Hata ukiwapa documents za email how u negotiated with the vendor na invoice hawakuelewi. sanasana wakishaup...
Back
Top Bottom