Search results

  1. M

    Msaada wa haraka unahitajika

    asante kwa ushauri hizo punje unatafuna kwa mara moja au inakuwaje?
  2. M

    Msaada wa haraka unahitajika

    asante kwa ushauri ila hizo punje unatafuna kwa mara moja au inakuwaje?
  3. M

    Msaada wa haraka unahitajika

    Mambo vipi wanajamii, Mi mwenzenu nasumbuliwa na malaria mara kwa mara na haya madawa ya hospital hayanisaidii,kifupi huwa siponi kiasi kwamba najua itakuwa ndo hiyo malaria sugu.sasa kama mtanisaidia kupata dawa ya mitishamba itakuwa mmenipa msaada mkibwa sana. Please help!
  4. M

    kuhusu malaria

    Habari wanajamii mi nataka nifahamu kitu kinachosababisha malaria kuwa sugu na tiba yake ni nini.Vilevile kama kuna mtu anafahamu madawa ya mitishamba ambayo yanatibu kweli malaria sugu na si usanii wa mjini hapa.Malaria yangu imekuwa haiishi ninapotumia dawa sasa sijui ndo usugu wenyewe au...
  5. M

    On Star TV: Ipi Misingi ya Kuendeleza Amani Tanzania?

    Misingi mikuu ya amani ni utoaji haki ulio sawa hasa haki ya kuishi ambayo tunaona kila uchao inavunjwa kwa sababu ambazo watawala wanazijua wao. Haki ni neno pana linalojumuisha vitu vingi sana kama vile haki ya kujieleza (democratic country), haki ya kupata mahitaji ya msingi ikiwemo chakula...
  6. M

    Hili la Loliondo tulifikiria au tulikurupuka!

    acha kuchemka hamna dawa ambayo haina madhara kikubwa ni muda ambao madhara hayo hutokea baada ya kunywa dawa,ni miaka mingapi,kama ni beyond human time scale it becomes insignificant and negligible.
  7. M

    CCM ingemtuma Rizwan kuiwakilisha kwenye mdahalo

    mi nataka nijue wakina nani na wangapi walimfahamu Rizimoja kabla ya baba yake kuwa raisi?huyo dogo mwenyewe anaungaunga tu na mwisho wa umaarufu wake ni 2015 aun even b4 baba yake hajamaliza muda wake.
Back
Top Bottom