Search results

  1. Chilai20

    Nahitaji kununua 4G mifi router

    Nahitaji kununua 4G mifi router, iwe na lock au haina lock haijalishi ila ikiwa ni huawei ITAPENDEZA ZAIDI, kwa alienayo anitafute 0717701778 tufanye biashara.
  2. Chilai20

    Nahitaji kununua 4G mifi router

    Nahitaji kununua 4G mifi router, iwe na lock au haina lock haijalishi ila ikiwa ni huawei ITAPENDEZA ZAIDI, kwa alienayo anitafute 0717701778 tufanye biashara.
  3. Chilai20

    Naomba msaada wa kilimo cha Azolla

    unayo azolla?? nichek 0717701778
  4. Chilai20

    Msaada-masters by thesis or coursework and dissertation

    ASNATE MKUU ILA ... Hivi ukifanya masters by coursework haufanyi Research hata kidogo ama vipi? namaanisha ni kua unakaa class tu na mwisho unapiga final exam baass umemaliza ama vp??
  5. Chilai20

    Masters by Thesis , coursework and dissertation - OUT

    Wakuu! naomba KWA ANAELEWA anisaidie mchanganuo wa hii kitu Masters by "Thesis , coursework and dissertation" pale Open University of Tanzania. Na vipi gahrama zao kwa DST (Distance Learnig), na huwa minimum wanaruhusu unasoma kwa miaka mingapi? NB: KWA WANAOLEWA TU!
  6. Chilai20

    India wana mfumo km TCU - CAS kuomba vyuo kwa pamoja???

    China hapana, mimi nataka INDIA mkuu!
  7. Chilai20

    India wana mfumo km TCU - CAS kuomba vyuo kwa pamoja???

    Habarini wakuu!!! Hv India wana System km ya TCU - CAS ktk udahili/kuomba vyuo vikuu kwa pamoja??? ...namaanisha wanaomba kwa kutumia CENTRAL ADMISSION SYSTEM ktm huku Tz? je ni ipi Website yao? ...mwenye maelezo yoyote kuhusu uombaji wa chuo India naomba atujuze!
  8. Chilai20

    Real-estate house for sell at Kigamboni

    Wadau nauza nyumba yenye vyumba vitatu(master mbili na single moja) ukumbi,store, jiko dinning room na choo cha jumla (public). ipo kigamboni maeneo ya dege ipo tyar kwa kuezekwa. mawasiliano zaidi 0715272400/0717701778
  9. Chilai20

    Samsung galaxy s2 Original 210k

    Samsung galaxy s2 Original 210k nauza. 0774701778
  10. Chilai20

    Galaxy S2 Original 230, 000

    ....zitakusaidia hizo, kalimie kijijini kwenu :-D
  11. Chilai20

    Galaxy S2 Original 230, 000

    Habar wadau?
  12. Chilai20

    Samsung galaxy s2 Original black

    habari wakuu ....ipo Samsung Galaxy s2 Original nauza 220, 000. kwa anaehitaji aniPM
  13. Chilai20

    koplo uhamiaji

    ww uko nchi gani?
  14. Chilai20

    koplo uhamiaji

    ww majibu yko yanaendana na jina lako
  15. Chilai20

    koplo uhamiaji

    asante mkuu.... nimiminie hyo mengine mkuu
  16. Chilai20

    koplo uhamiaji

    habari zenu wakuu? kwa wale mlomaliza usaili wa uhamiaji, naombeni munipatie yale maswala kwa anaekumbuka!
  17. Chilai20

    Masuali ya Koplo wa uhamiaji

    hv unajua maana ya kupanic au unaongea tu! ....haina haja ya kuendeleza malumbano, asante na nashkuru kwa msaada wko mungu atakulipa kwa uyatendayo.
  18. Chilai20

    Masuali ya Koplo wa uhamiaji

    kwani KOPLO bado wao?? ....mbona wakaguzi tayar?
Back
Top Bottom