Search results

  1. D

    Familia yafariki baada ya nyumba yao kuteketea kwa moto

    Send deepest condolences to affected families
  2. D

    Nafasi za kazi TPA

    TPGS 6 ni ngapi? inabidi mtu ajue kabla ya kuapply
  3. D

    Cisco vs Oracle kozi ipi nzuri katika soko la ajira?

    Nop siyo lazima... But t s gud if u have that background.. It is similar like cpa
  4. D

    Cisco vs Oracle kozi ipi nzuri katika soko la ajira?

    Zipo baadhi siyo nyingi sana.. Ninaowajua wapo 6...
  5. D

    Tetesi: Hii ndio kazi inayofuata atakayopewa Makonda na Rais Magufuli

    Naona tumempa ukuu wa mkoa Makonda... Sasa kilichobakia ni kazi tu
  6. D

    Tetesi: Hii ndio kazi inayofuata atakayopewa Makonda na Rais Magufuli

    Ukuu wa mkoa dar sidhani km utamfaa
  7. D

    Tetesi: Hii ndio kazi inayofuata atakayopewa Makonda na Rais Magufuli

    At finally, baada ya kufanya kazi usiku na mchana za maendeleo alizokua akizipiga Mh DC licha ya watu kumkejeli mara muuza sura, mara anajipendekeza, mara mtovu wa nidhamu lakini kwa hayo yote mwisho ameweza kuonekana kwa utendaji kazi wake na kumgusa, kumdatisha au ama si kumkuna mzee wa...
  8. D

    Hisa za airtel, TTCL kimenuka

    Nimetokea kuamini kasi yake mzee wa #hapakazitu.. Cjui kasi yake ndo inapungua#lwenyi
  9. D

    Luxury Bus Mbeya to Dar

    Ndenjela nauli yake ni sh ngapi... Lipi lingine ambalo zuri lazalaza
  10. D

    Luxury Bus Mbeya to Dar

    Naomba kuuliza luxury bus ambalo ni zuri na pamba linalotoka Mbeya kwenda Dar..
  11. D

    Hisa za airtel, TTCL kimenuka

    Hivi naomba mnijulishe hivi hisa asilima 35 ambazo serikali ilisema itazichukua kutoka Bharti airtel kabla ya mwisho wa mwezi uliopita wameshazichukua.....maana huu mwezi wa pili sijapata update yoyote kuhusu hii ishu....au kuna kudanganyana maana waziri alisema mwenyewe...au ndio style ya...
  12. D

    TTCL inapambana na nani kwenye Soko? Halotel!!!!?

    Hivi serikali imeshachukua Hisa zote za airtel TTCL maana walisema kabla ya february...
  13. D

    TTCL inapambana na nani kwenye Soko? Halotel!!!!?

    Mimi kuna ishu hii inanidatisha...nimesikia kwa chinichini TTCL imeingia kwenye 4G sijajua ni kisiasa au vp!!!!?...maana sijaona hata tangazo lao moja....hivi ni wanaifanyia test au wameingia kabisa kwenye market....mimi bado nazidi kudata... Sasa pamoja na hayo hivi hawa wanashindana na nani...
  14. D

    Cisco vs Oracle kozi ipi nzuri katika soko la ajira?

    Mimi ni ICT Expert wa mda mrefu kampuni yetu kipindi cha nyuma tulikua tunaajiri CCNP holder na OCA...lakini kwa kipindi hiki hata ukiwa na CCNP au OCA unaweza tusikupe kazi kutokana na wanaoomba kazi wenye CCNP na OCA wapo wengi. Kwa hiyo tunashauri kama una CCIE au OCP au MCSE ni PM kazi...
  15. D

    Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    Baada ya Slaa, Lipumba yafata NCCR...bado watatu tu kujiuzulu...Mbowe, Seif Sharif Hamad na Mbatia...Mpaka ifike tarehe 25 October....atabaki Lowassa peke yake...:crying::crying:
  16. D

    Cisco vs Oracle kozi ipi nzuri katika soko la ajira?

    Kwa cisco unaweza piga CCNA na CCNP bado ukapigwa benchi...kwa ushauri piga CCIE Kama unaweza...Kwa Oracle fanya OCP ajira nje nje...
  17. D

    Dr. Magufuli, hupati kura yangu Oktoba 25

    Mpaka tarehe 25/10 Kitaeleweka 2....hapa kazi tu
  18. D

    Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

    Mahakama Mafisadi wa Kwanza kushitakiwa awe Lowassa wapili Kikwete....sijaona serikali ya ajabu kama iliyopita...
  19. D

    Hatari ya CCM kukosa majimbo yote Dar

    Kwa mimi ninavyoona Ilala, kigamboni, kinondoni, Ukonga na Temeke itayachukua CCM..., Ubungo, Segerea, kibamba, mbagala na kawe yanakwenda Ukawa
Back
Top Bottom