Search results

  1. Someone Somewhere

    Rwandair kuongeza ndege mbili (2) brand new CRJ 900 kutoka kiwandani

    Najivunia kuwa Mtanzania au navumilia kuwa Mtanzania
  2. Someone Somewhere

    Mke au Mama mzazi..... . . . .

    loh haunizidi mimi! nemeckaje kah kama pick up kweli hapo patamu
  3. Someone Somewhere

    Wajua jinsi ya kumdhibiti mpenzi anayepiga mizinga?

    siku hz wanasema mkono mtupu haulambwi!
  4. Someone Somewhere

    Maneno tu, mtu anasaula mwenyewe!

    hahaha hata miwani ya jua hautatoa
  5. Someone Somewhere

    Mtoto aishi na mama yake mzazi kinyumba miaka 10

    Tobaa kah nyie mama yako mzazi mbona hata hiyo hamu itakata!
  6. Someone Somewhere

    Al-Shaabab/Maharamia wa Somalia wanabadilisha vipi fedha haramu Afrika ya Mashariki?

    Dah bora umeuliza maana jamaa povu linavyomtoka
  7. Someone Somewhere

    Deus Mallya: Maswali na majibu ya Kifo cha Wangwe, Siasa n.k

    Mzee naupitia huu mjadala kwa makini
  8. Someone Somewhere

    Deus Mallya: Maswali na majibu ya Kifo cha Wangwe, Siasa n.k

    MKUU WA JESHI LA POLISI, P.O. BOX, DAR ES SALAAM , TANZANIA. YAH; KIFO CHA MHESHIMIWA CHACHA ZAKAYO WANGWE MBUNGE WA TARIME. Kutokana na ajali iliyotokea tarehe 28 Julai 2008 katika eneo la Pandambili Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma na kusababisha kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Tarime...
  9. Someone Somewhere

    Diwani wa Monduli na M/kiti wa UVCCM Monduli ndani ya CHADEMA!

    Julius Kalanga, Diwani wa Monduli, M/kiti wa UVCCM Wilaya ya Monduli na kada mtiifu wa Lowassa sema jambo braza watanzania wanaisubiri kauli yako
  10. Someone Somewhere

    Mwakyembe live bungeni

    Kwanini anaificha mikono yake
  11. Someone Somewhere

    Msanii Lulu katika pozi

    dah umefunguka vizur
  12. Someone Somewhere

    Mwigulu ni ushamba au ulimbukeni?

    Alienda nacho Arumeru ili avuliwe yatokee yaleyale ya Igunga
  13. Someone Somewhere

    Picha: Dr.Slaa ampokea Prof. Lipumba kiaina

    Big up Dr Slaa umeonesha uungwana
  14. Someone Somewhere

    Nafasi 150 za uhakimu makama ya mwanzo

    Kuna mpango wa kuruhusu mawakili ktk mahakama za mwanzo so kuna ulazima wa maPM kuwa atleast na LLB jambo lengine ni mabadiliko jaman hv mnadhani tuaendelea kuwa na maPM wenye DL mpaka lini?
  15. Someone Somewhere

    Natafuta college ya kusomea law ambacho kipo dar!

    Kwa level yako lazima uanze na certificate zen diploma zen degree. Kwa hapa dar vyuo vinavyotoa course ya law kwa level hiyo ni, 1. University of DSM 2. University of Bagamoyo 3. Tumaini. 4. Azania na 5. Kampala International University
  16. Someone Somewhere

    Movie na series unazozipenda

    Series. 1. 24hours. 2. Prison break. 3. Lost. 4. Jumong. 5. Traveller. 6. The Event. Movies. 1. American soldiers. 2. Sometimes in April. 3. Kuch kuch Hotai. 4. The Big Boss ya Don Yen.
  17. Someone Somewhere

    title ya temporary employee ya NHIF ????

    thanx mkuu nimekupata!
  18. Someone Somewhere

    title ya temporary employee ya NHIF ????

    Ndugu naomba unieleweshe kidogo kuhusu wale marefferes ni kinahitajika kutoka kwao i mean ni barua za utambulisho au vp? Na vp kuhusu zle passport 2 ni za kwangu au za hawa marefferes! Plz
  19. Someone Somewhere

    tiGO mnatufukuza wateja wenu bila kujijua

    Nani anahusika na wizi huu unaoendeshwa na TIGO. Kuna matangazo ya promotion mbalimbali za TIGO ambayo hayaendani kabisa na promotion zenyewe. Mfano ni ile ya nunua muda wa maongezi kupitia tigo pesa ili upate salio marambili na hii promition mpya iliyoanza tar 3 mwezi huu september ya nunua na...
Back
Top Bottom